Wakuu habari.
Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!.
Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa.
Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada. Tukaongea ongea mwishoe tukaagana.
Jioni kanitumia picha ya kiatu Fulani eti anaomba nimnnulie kama zawadi! Nikasema sio issue nitakinnua.
Nikaamua kupita madukani kuulizia bei yake nimeambiwa ni 150000/= cash.
Wee mdada nimeona hatuendeni nitoe laki na nusu kunnua kiatu sibora niongezee laki nyingne ninnue ndama!
Uzi tayari.