Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana umegadhabika mnoPunguza Kuweweseka,,Punguza Kupagawa,,Punguza Milio,,Punguza Mighafilisho ,Haitakusaidia Kitu Dogo,,Wewe Nenda Kanunue Huyo Ndama Wako Wala Hakukuwa Na Haja Ya Kutuletea Huku,,,Huo Uvulana Wako Peleka Huko Kwenye Ndama Wenzako,,,Nipasie Namba Ya Huyo Bibie Kama Hutojali.
Wewe endelea kupiga nyeto tu mapenzi huyaweziWakuu habari.
Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!.
Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa.
Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada. Tukaongea ongea mwishoe tukaagana.
Jioni kanitumia picha ya kiatu Fulani eti anaomba nimnnulie kama zawadi! Nikasema sio issue nitakinnua.
Nikaamua kupita madukani kuulizia bei yake nimeambiwa ni 150000/= cash.
Wee mdada nimeona hatuendeni nitoe laki na nusu kunnua kiatu sibora niongezee laki nyingne ninnue ndama!
Uzi tayari.
Chuki zako na wanawake utabaki single for life kuku weJamaa yuko sahihi sana
Ni simp tu ndiye anaweza kufanya huo ujinga wa kumnunulia viatu huyo malaya
Mwanaume atakuaje mpenzi wako rasmi, bila kukuomba tendo, mfanye ndo muwe wapenzi? kwenye tendo, si ke na me wote wanapata starehe, au anaefaidika ni mmoja ambae ni me, ukiombwa tendo, au ukiona viashiria vya kuombwa tendo na mwanaume ambae si mpenzi wako na haumtaki, si unakataa tu, kwani atakubaka? mbona it's very simple. KelseaTendo
Halafu hana bikraJamaa yuko sahihi sana
Ni simp tu ndiye anaweza kufanya huo ujinga wa kumnunulia viatu huyo malaya
Mnakutana huko, mnatuletea mabandiko humu...Wakuu habari.
Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!.
Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa.
Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada. Tukaongea ongea mwishoe tukaagana.
Jioni kanitumia picha ya kiatu Fulani eti anaomba nimnnulie kama zawadi! Nikasema sio issue nitakinnua.
Nikaamua kupita madukani kuulizia bei yake nimeambiwa ni 150000/= cash.
Wee mdada nimeona hatuendeni nitoe laki na nusu kunnua kiatu sibora niongezee laki nyingne ninnue ndama!
Uzi tayari.
Ila mmezidi aisee, yaani mtu akiomba namba tuu, jioniNi mshamba tayari....Mambo ya pm kuyaleta huku...
Hafai hata kuoa...atatoa Siri za ndani zote
Uzi ufungwe.... Agiza mchemsho kwa bill yangu.Halafu hana bikra
Si unakausha tu,kuombwa lazima mkuuIla mmezidi aisee, yaani mtu akiomba namba tuu, jioni
Huna chakula
Huna kodi
Simu kioo kimepasuka
Bibi mgonjwa
Mdogo mke wa mjomba kafariki
Aaaaargh!
Ni kweli kabisa. No whore has a character.Hakukuwa na haja ya huu uzi kabisa yaani.
This shows lack of character.
Ni boya pekee anayetoa 150,000 ya kiatu kwa malaya tena aliyekutana naye mtandaoni chini ya week, asiyekuwa na mipango naye wala future yoyote.Punguza Kuweweseka,,Punguza Kupagawa,,Punguza Milio,,Punguza Mighafilisho ,Haitakusaidia Kitu Dogo,,Wewe Nenda Kanunue Huyo Ndama Wako Wala Hakukuwa Na Haja Ya Kutuletea Huku,,,Huo Uvulana Wako Peleka Huko Kwenye Ndama Wenzako,,,Nipasie Namba Ya Huyo Bibie Kama Hutojali.
Lazima ukweli usemweChuki zako na wanawake utabaki single for life kuku we
Halafu hana bikra