Mdada kaniomba nimunulie Kiatu, bei yake laki na nusu! Bora ninnue ndama

Jamaa yuko sahihi sana

Ni simp tu ndiye anaweza kufanya huo ujinga wa kumnunulia viatu huyo malaya
Wanawake wa siku hizi mnaanza mahusiano siku mbili tu bado penzi halijakomaa anaanza kutangaza dhiki zake na kurusha makombora ya hatari na kuonyesha kila aina ya rangi zake .. nani afanye mahusiano na wapiga miizinga hawa ndio maana singe mather wanaongezeka mitaani.
 
Umesema vyema
 

Kwani huyo ni mpenzi wake? Waonane mchana jioni anataka kiatu, huo si utapeli sasa!
 
Siku hizi hamna kusema sikutaki
Nikuomba vya juu ya uwezo
Anajikataa mwenyewe..😅
Kuna wadada wengine hujawahi kumtongoza, ni ile tu mna mazoea kidogo, hata namba yake ya simu huna, kila siku anaanza kuomba vitu vidogo vidogo mara naomba elf 2, mara ninulie hiki, mara ninunulie kile, mara ninunulie chapati, mwanaume ukijiuliza why nimnunulie huyu mtu hivi vitu almost kila siku, unakosa jibu, wadada wa hivi unawazungumziaje Hornet
 
Ni kama ilivyo kwa wanaume wengi wanavyoeleza shida zao kwa wadada ambao hata si wapenzi wao. Ni mwendo wa kuviziana tu, tuishi kwa namna hiyo.

Hizi tabia za ajabu ajabu naona jinsia zote mbili zinazo, wanaume wenyewe wengi si wakweli basi na wadada wengi wameona waangukie huko huko.
 
Rule No.999 - Never date a high maintainance Woman.
 
Hehehe ndama ni ndama na kiatu ni mwanamke kama vip kanunue ndama tu uwe unamchapa nao mpaka alie moooooo achana na mwanamke we si bahili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Laki na nusu kabisa!!! tungekufungulia kesi ya uhujumu uchumi, japo umekosea mambo ya PM ungeyaacha huko huko, siku hizi hamna kutafuta ila kuna kutafutana unapotafuta ujue unatafutwa watch out
 
Kwani 150k mbona ni bei ya kawaida sana kwa kiatu? Wewe mtoa mada kwani wewe viatu vyako unanunua vya bei gani?
Juzi tu nimeona ECCO sandals za wanaume ni laki nne na hamna punguzo.

Au ulitaka ukamchukulie zile sagura sagura za kariakoo za buku 5 ?😂😂😂
 
Sina uzoefu
 
Ni kama ilivyo kwa wanaume wengi wanavyoeleza shida zao kwa wadada ambao hata si wapenzi wao
Naomba ufafanuzi, hao wanaume wengi wanaelezea shida zipi kwa wadada ambao si wapenzi wao? Kelsea
 
Hajakupenda ndio maana amekuambia kitu km hicho iliushindwe asepe zake,lagha ya picha hio boss umekimbiwa bila kuagwa
 
Mnunulie mkuu.Viatu(vikiwa vya ngozi)ni ngozi ya ndama aliyeboreshwa huko Ulaya.Not bad!
 
Utapiga sana puli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…