kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Alivaa rosary shingoni, msalaba wa rosary ukawa katikati ya mtindi.
Chekibobu aliyekaa jirani yake akawa anamwangalia mdada mtindi wake kwa muda mrefu.
Mdada akatambua chekibobu anamtizama kwa muda mrefu zaidi ya dakika 15.
Kisha mdada akamuuliza "Unamwangalia yesu kristo ambaye amekufa msalabani?
Chekibobu akamjibu, Hapana! Kiu ukweli kabisa nawaangalia wahalifu wawili waliopigiliwa msalabani pamoja naye.