Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Hao hawajipitishi wanapita kashaelezea namna ya kujipitisha na kama kwa bahat mbaya umeolewa lakin ukasimamishwa siyo mbaya we sikiliza then sema nimeolewa mbona wazungu haya mambo wanachukulia simple tu anakuambia ooh sorry am taken lakin anaonyesha kufurahia kwamba umemtongozakwa hiyo wanawake wote wanaojipitisha barabarani wameolewa siyo?
Ngoja wale free Palestine wakusikieKabla hawajaolewa ni lazima wapite mikononi mwa wana wa Hamas wachafuliwe kwanza ndipo ndoa ifate
umeongea kweliMdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu.
Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka bwana, kama ikitokea umetumiwa meseji jibu wanaume huwa hawana mawili kwenye moja ukipuuzia meseji hizo utazeekea kwenu shauri yako.
Kama imepangwa hata ukijifungia watakuja tu au ukajipitisha wasivutiwe nawe!