Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hommie umeamua kwenda beyond keyboard hebu tumsaidie mshiki wetu kabla ka babu hakajachakachua...Mshiki tutafutane leo jioni tunywe mbege pale Tegeta darajani halafu tuongee vizuri kuhusu haka kababu. Unasemaje? Teamo amenihakikishia uwepo wake.
Hao ni akina baba na mabinti zao na sio wapenzi.kwani kuna tatizo kupiga picha na binti yako?![]()
![]()
Juu Hapa AFRICAN
![]()
Hapa Mzungu.
Oraiti nilitaka nijue kuwa wewe unaangukia wapi hapo
kati ya babu, kibabu au kikongwe!
Ni mtazamo..usinichukie!!
Btw, LD ni nani kati yao eti..wanajifanya babu zetu kumbe....Babu Aspirin, wala usitarajie kumuona ur daughter-in-law from me!!!
Mwangalie kwanza..wewe ni mzee mpaka unachomekea ngozi!!!
How did you know mpendwa? Mbona ckuoni mlimani?Hao ni akina baba na mabinti zao na sio wapenzi.kwani kuna tatizo kupiga picha na binti yako?
Hao ni akina baba na mabinti zao na sio wapenzi.kwani kuna tatizo kupiga picha na binti yako?
Wewe na Baba Enock mna kesi ya kujibu........
Nashukuru sana kaka, tusije tukaenda Rombo mapema hivi, na umaro sijajiunga bado.
Bora hommie umeamua kwenda beyond keyboard hebu tumsaidie mshiki wetu kabla ka babu hakajachakachua...
mwone BE, ana majibu yote ya maswali yako Babu!!!!
Sasa we Bacha bana, kwa nini akili yako inakutuma hivo??
Anyway hakuna ubaya.
Sema basi nataka kushinda huu mtego na kazi nibaki nayo.
Kwa sababu sasa naona tiba ya hii nikumkimbia babu.
Hebu nisaidie kidogo. Nikaa huko kitaaa sinitachoka na umaskini huu.
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Ntamwambia,"shkamo babu,hivi bibi hajambo nyumbani?wajukuu je"..cdhani kama atakua na lingne.
Yule Skulimeti wangu bana...dah!
oraiti, kwani kuna lipi jipya babu?
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Ntamwambia,"shkamo babu,hivi bibi hajambo nyumbani?wajukuu je"..cdhani kama atakua na lingne.
una uhakika kuwa babu hatakuwa na jingine?
tena nyinyi vijukuu ndo mababu wanachukua kiulaini tu
kama unanawa mwanangu?
Tunatafuta sababu ya kukutana kunywa bia. Kesi za kujibu nayo ni sababu........