LD pole kama ni wewe ....... haya mambo kwa kweli ni magumu. Zamani sikuwaga nikielewa wti mdada analazimika kumkubalia bosi wake kufanya madudu kisa akikataa atafukuzwa kazi (actually mpaka leo sielewi)......but siku liliponikuta mie, nilielewa ugumu wake but kina dada we have to be stong na wajasiri. Kama unajiamini katika utendaji wako wa kazi, kazi hiyo umeipata kihalali kwa qualifications zako jiamini. Check sheria zinasemaje juu ya haki zako kazini then chukua hatua.
1. Mweleze taratibu kuwa unamheshimu na usingependa mahusiano yaende zaidi ya kikazi (ofcouse huku ukifuata ushauri wa Maty-sali sana ili MUNGU ampe uelewa)
2. Ukiona aelewi, check sheria inasemaje.......ukiona huwezifuata sheria
3. Tafuta kazi kwingine, anza mbele.................................................................................