Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
iyo itakuwa kwenye jedwali la kwanza.....la viambatisho
Jamani guest za Sinza haziwatendei haki wageni toka mikoani. Mgeni akishuka pale Ubungo stendi kwenda guest anaambiwa hakuna nafasi, kisa wameona kaja na mabegi. Wanakwambia hiyo hailipi. Hivi hamjagundua kwamba guest za siku hizi haziweki tena vile vibao vinavyosomeka ''Vyumba Vipo''...au ''Vyumba Vimejaa''!!!