mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date
iyo itakuwa kwenye jedwali la kwanza.....la viambatisho

Jamani guest za Sinza haziwatendei haki wageni toka mikoani. Mgeni akishuka pale Ubungo stendi kwenda guest anaambiwa hakuna nafasi, kisa wameona kaja na mabegi. Wanakwambia hiyo hailipi. Hivi hamjagundua kwamba guest za siku hizi haziweki tena vile vibao vinavyosomeka ''Vyumba Vipo''...au ''Vyumba Vimejaa''!!!
 
Wababa watu wazima wakiwa wanatongoza wengi huwa hawakwambii direct wanachotaka. Tumia point hiyo kujifanya humuelewi anachotaka.
Kama kimeshakwambia direct kinataka nini mwambie akufanyie kitu ambacho unajua hatoweza na hapo ndio utamtorokea maana akikishindwa hakusumbui tena.

haha bibie kuna wengine wanaweza almost kila kitu kasoro kukupeleka mbinguni tu
 
Wababa watu wazima wakiwa wanatongoza wengi huwa hawakwambii direct wanachotaka. Tumia point hiyo kujifanya humuelewi anachotaka.
Kama kimeshakwambia direct kinataka nini mwambie akufanyie kitu ambacho unajua hatoweza na hapo ndio utamtorokea maana akikishindwa hakusumbui tena.

Kitu gani hicho? Kumwacha mkewe kwanza au? Maana unaweza kukuta mzee king'ang'anizi hata ukisema unataka kiwanja anakununulia!
 
Kisa cha kuchakachuliwa na mbaba wa miaka 60 vijana hawapo??? Siwezi kukubali bana sio fair

Wengi wanafuata ngawila aka mpunga kama huna njaa huwezi kukubali lakini kama una njaa mbona huyo wa 60 bado analipa
 
Mmmmmmh hata Tegeta hakujui huyu!!!
Umefikia uamuzi gani mshiki? Kama bado mi hii ni sababu nyingine ya kukutana na kunywa bia kumdiscus ka babu kachakachuaji!
 
Kitu gani hicho? Kumwacha mkewe kwanza au? Maana unaweza kukuta mzee king'ang'anizi hata ukisema unataka kiwanja anakununulia!

Nashukuru sana, kwa sababu mnawafahamu hawa vijana wa zamani walivyo>

Halafu cha kushangaza akikuona unaongea na mkaka tu, atakuazishia kosa hapo, adi utajuta.
Duuu, nliwahi kumwambia itakupeleka polisi.

Akajibu hivi, hata huko polisi wenyewe watasema sasa jamani huyu mzee angefanya nini??
Halafu kesi inaisha.
 
Mmmmmmh hata Tegeta hakujui huyu!!!

Ujumbe hapa ni kwamba hata kama sio yule wa tegeta, basi na huyu wa tegeta ni wale wale.......
(hebu njoo pm kdg)
 
Umefikia uamuzi gani mshiki? Kama bado mi hii ni sababu nyingine ya kukutana na kunywa bia kumdiscus ka babu kachakachuaji!

Mi naona lazima tukutane kaka, manake solution bado kabisa.
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Vibabu vya kizungu kwenu wadada vinaonekana vijana

Lakini vibabu vya kiafrika mnaviona vimezeeka

Kumbuka ng'ombe hazeeki maini, anazeeka bodi tu jaribu mziki wake uone.
 
Nashukuru sana, kwa sababu mnawafahamu hawa vijana wa zamani walivyo>

Halafu cha kushangaza akikuona unaongea na mkaka tu, atakuazishia kosa hapo, adi utajuta.
Duuu, nliwahi kumwambia itakupeleka polisi.

Akajibu hivi, hata huko polisi wenyewe watasema sasa jamani huyu mzee angefanya nini??
Halafu kesi inaisha
.

Huyo babu kweli king'ang'anizi! Naona karibu utasalenda!
 
Vibabu vya kizungu kwenu wadada vinaonekana vijana

Lakini vibabu vya kiafrika mnaviona vimezeeka

Kumbuka ng'ombe hazeeki maini, anazeeka bodi tu jaribu mziki wake uone.

Hahahahhaha! Mkuu umepiga Ikulu, tena Ikulu ya Saddam! Halafu waambie kabisa, uzee unaanzia na kuishia Chalinze, hapa mjini hakuna mzee!
 
Mi naona lazima tukutane kaka, manake solution bado kabisa.

Hebu nitumie namba yako kwenye PM, maana nina uhakika ni suluhisho la tatizo lako. Mimi mwenyewe nilishapendwa na kibibi cha 75 years, tena cha kizungu, na majaribu yale niliyashinda. Kwa hiyo nina uzoefu ambao niko tayari ku-share na wewe!
 
Hahahahhaha! Mkuu umepiga Ikulu, tena Ikulu ya Saddam! Halafu waambie kabisa, uzee unaanzia na kuishia Chalinze, hapa mjini hakuna mzee!

Hahahahahaha mkuu madada wa kibongo ndo walivyo wengi tamaa ya pesa, wakizungu wanawafagilia sana weusi wenzetu eti kazeeka
 
Back
Top Bottom