LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
- Thread starter
- #261
Kama una hakika kuwa Mungu ndiyo alikusaidia ukapata hiyo kazi basi amini anaweza kukupa na nyingine tena nzuri zaidi ya hiyo.
Kipi bora? Kupata HIV na kudhalilisha utu wako au kujilinda na ukawa na uhakika wa kiafya na kuendelea kupambana na maisha dada?
Life is one so don't misuse it.
Kwanza jitahidi kutekeleza majukumu yako ya kazi kwa ufanisi zaidi na umuonyeshe huyo boss wako kuwa uko kikazi zaidi na sivinginevyo. Pia ujue kwamba hutakuwa wa kwanza kwake so usidhan akishakupata wewe ataishia kwako. Na zaidi jiassume utafanya ktk three or more offices na ukakutana na maboss wa aina hiyo then utatembea nao wote? Just say NO and mean it!
I think girls we have to be serous and respect ourselves so thatothers can respect us!
Ubarikiwe mpaka ushangae, halafu niweke kwene maombi yako ya usiku huu, na kuendelea.
Mpaka nitakapofanikiwa nitakupa feedback, ili pia tufanye maombi ya shukurani.