mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date
Mi nakumbuka kuna mahali tulikubaliana kwamba kawaida mdada akitongozwa akaja akasema, ujue hakump0enda mtongozaji...and vice versa is true

habari yake mshiki!

we mbaya wewe ndio nini kupita kimya kimya lol lazima urudishe zile gharama za gesti
 
Happy New Year to You Too Askofu........naona kuna haja ya kuandaa Kongamano la Maombi kuna mjukuu ameanza mwaka vibaya aisee...asijejikuta mwaka mzima anafuatwa na wazee tu .................

Ntakuja Askofu.................

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol mmbanu!!
 
LD Salama Mpendwa?

Ushapata jibu la kumpa?

Salama mtumishi, jibu la hapa mtumishi, ni kukimbia, si ulitufundisha,
Tuikimbie zinaa ee, eti zinaa unaikimbia sio unashindana nayo.

Nime meza yale mafundisho Askofu.
 
Happy New Year MJ1, unakaribishwa sana... leo watendaji watakuwa kwenye semina ila nitabaki kukuhudumia...

Hiyo signecha... changanya na za kwako....

Askofu bwana asifiwe mzima wewe unasalimiwa na hati bureka
 
LD pole kama ni wewe ....... haya mambo kwa kweli ni magumu. Zamani sikuwaga nikielewa wti mdada analazimika kumkubalia bosi wake kufanya madudu kisa akikataa atafukuzwa kazi (actually mpaka leo sielewi)......but siku liliponikuta mie, nilielewa ugumu wake but kina dada we have to be stong na wajasiri. Kama unajiamini katika utendaji wako wa kazi, kazi hiyo umeipata kihalali kwa qualifications zako jiamini. Check sheria zinasemaje juu ya haki zako kazini then chukua hatua.
1. Mweleze taratibu kuwa unamheshimu na usingependa mahusiano yaende zaidi ya kikazi (ofcouse huku ukifuata ushauri wa Maty-sali sana ili MUNGU ampe uelewa)
2. Ukiona aelewi, check sheria inasemaje.......ukiona huwezifuata sheria
3. Tafuta kazi kwingine, anza mbele.................................................................................


Asante sana dada yangu MJ1, na nashukuru kwa sababu unaelewa tabu ya hii kitu.
Nitashinda tu.
 
Hii thredi ina uelekeo wa beijing....


"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"

"Women might be able to fake orgasms. But men can fake a whole relationship."


Ngoja nikagugo maana ya hizi siginecha mbili....brb!
 
Nishatafuta mpenzi lol halafu usitokee kama alivyofanya mwanafunzi mwenzio kaizer

maty maty...mbona sikufanya. ikisha mi kwa MJ1 sio mwanafunzi actually MJ1 tunapendana sana sasa wanafunzi hawaruhusiwi....:A S 465:
 
Habari musuri kaka, yani kaka, ndo hivi mambo, kababu huku kameleta balaa, nataka kukakimbia,
Sijui nikatue wapi?


kama vipi mpotezee, huyo babu ni yule wa baa mpya tegeta?
 
maty maty...mbona sikufanya. ikisha mi kwa MJ1 sio mwanafunzi actually MJ1 tunapendana sana sasa wanafunzi hawaruhusiwi....:A S 465:
Nyani hasusiwi shamba eti............... kweli kabisa keizer mi na weye tuko vere vere but wapi switihati wako nyamayao? Nimemiss sana bana
 
Nyani hasusiwi shamba eti............... kweli kabisa keizer mi na weye tuko vere vere but wapi switihati wako nyamayao? Nimemiss sana bana


yuko kwa wazazi, maji ya chai pale anatafuta maneno mapya ya mwaka huu 2011

for now wacha tubanjuke tu life ni fupi sweety
 
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?

Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.

Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.

Ka Mwafrica "Shikamoo babu na samahani halafu pita hata usisimame"
Ka ni wale wanaomiliki migodi yetu "credit card + Pin Number"
 
Wababa watu wazima wakiwa wanatongoza wengi huwa hawakwambii direct wanachotaka. Tumia point hiyo kujifanya humuelewi anachotaka.
Kama kimeshakwambia direct kinataka nini mwambie akufanyie kitu ambacho unajua hatoweza na hapo ndio utamtorokea maana akikishindwa hakusumbui tena.
 
Back
Top Bottom