Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
244
Reaction score
491
Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
 
natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza ,awe anajua kutumia computer.tuwasiliane pm kam uko tayari.
Mkuu yupo. Kama utapenda kumuajiri kwa sasa yuko kahama ila muda wowote anawasili rock city.

Whattsapp me 0744033555
 
Mkuu yupo. Kama utapenda kumuajiri kwa sasa yuko kahama ila muda wowote anawasili rock city.

Whattsapp me 0744033555
Umeambiwa pm ww unaleta namba yako hapa cjui shule inatusaidia nn jmn
 
Umeambiwa pm ww unaleta namba yako hapa cjui shule inatusaidia nn jmn
Mkuu mbona makasiriko sana?
namba yangu kuwekwa public imekuuma sana?

mbona hata yako pia ipo hapa jf?
Screenshot_20220515-185128.png

hebu punguza lugha chafu mkuu

isitoshe hata wewe shule haijakusaidia sana zaidi ya kukufanya uandike broken English.
Screenshot_20220515-185043.png
 
mpaka sasa sijampata pharmacy technician diploma level...mahali ni mwanza awe na leseni au amefanya mtihani wa leseni...unaweza kunicheki pm kwa maelezo zaidi...
 
Back
Top Bottom