Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Wana JF
Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au mzungu ili aoe.
Yeye umri wake 46, anao watoto 2. Wataongea wafahamiane wakikubaliana tabia basi atamuoa immediately. Anasema kuna zawadi kwa atakaye msaidia kumpata.
Tumsaidie wanajamvi maana msaada maana yake yeye hajui wanapatikana wapi ili wawasiliane, aliyezaa naye wameshindwana amejitahidi sana sana kumrekebisha imekuwa ngumu.
Karibuni