Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia leo sikutakiiii mimi na wazee mbali mbalii nahamia kwa @toz25Huyo kanipunja leo....muda si mrefu ataibuka mwingine aseme nina 50 na kitu.
Wapo wataoibuka na kudai nina 70....
Yaani ili mradi tu...
Ngabu we ni Nyoookoooo
Acha nicheke mie nipunguze stress.Kuna vituko kweli humu.
Usije shangaa hata wewe Angel Nylon unaambiwa ndo mimi.
Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo UsNgedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".
Mi nashangaa mnajitukana wenyeweSasa wewe jamaa si ndo mimi huyu huyu....kwa nini unanitukana sasa?
Yaani unajitukana mwenyewe?
Ni wewe eeeeHalafu wewe ngoja yule mshikaji akuone humu...
Ila hata yeye akija anaweza kudhaniwa ndo mimi...
Ahahahahahahahaha kaazi kweli kweli yaani.
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo Us
Akija malcom humu atasema yake ila ndio vyema kabisaaLeo mimi ni Mhaya kwa hiyo nipo Karagwe. Kwa leo kwetu ni Karagwe.
Kesho labda ntakuwa Mnyalu na kwetu kutakuwa Ipogoro😀.
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo Us
Aiseee huyu ngabu anaudhii sanaKakwapua jina langu hadi nikaamua kujiita "Ndjabu Da Dude". Nilikuwa najulikana kama "Njabu Ngabu".
Umenichekesha mkuu
Lkn wengi wamechangia licha ya ushamba wakeMleta mada ni mshamba...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji27] [emoji28] [emoji29]Kakwapua jina langu hadi nikaamua kujiita "Ndjabu Da Dude". Nilikuwa najulikana kama "Njabu Ngabu".
Umelipenda eeee[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".
mtu mwenye miaka 40 anawekwaje kundi la wazee lolKumbe Nyani Ngabu ni mzee ana 40 simtaki tenaaa
Kakwapua jina langu hadi nikaamua kujiita "Ndjabu Da Dude". Nilikuwa najulikana kama "Njabu Ngabu".
Heehhehehe mim na shishi damu damu kwa watoto wabichiii hawa 40 sitaki banamtu mwenye miaka 40 anawekwaje kundi la wazee lol
Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".