FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Mali wassup bruv.. Been a minute homieYooo my Nigger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali wassup bruv.. Been a minute homieYooo my Nigger
Hehehehee dogo anatia huruma sana.. Ukienda kwenye thread za huyo Njabu alizoanzisha kuanzia 2009-2013 utaona zote huyo Nyani kazicomment tena kwenye page ya kwanza kabisa kabla hata comment hazijafika 10..Nilisha ushtukia mchezo wake kitambo sana
Hehehehehe watu wamemkamata mmarekani.. Anajitukana na kujijibu.. Kawaida sana kuwa na multiple ID's huyo..Mkuu mbona umeuleta tena mjadala haha FisadiKuu
Kinachoshangaza ni imaginations za ajabu ajabu walizonazo watu.Jamani lengo la mkuu Ngabu sio kuonyesha anavaa design gani ila ni kuona ufahari wa mTZ mwenzetu ambapo amefikia. Jamani kutangaza nguo za akina RL nk ni kuwa amefika mbali na tumuombee aendelee. Tuache roho korosho ila unajisikia kuona models wetu wametoboa. Ngabu hongera kwa kujibu kila aliyetaka jibu. Pamoja na matusi uliyooga.
Mali wassup bruv.. Been a minute homie
Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..Nipo tu kaka.
Sema daah huu mkutano aseee.
Teh teh teh teh teh........
Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..
Usijifiche sana hivyo si unajua anavyopenda shari... hahahahaha sasa kakosa wa kwenda nae battle anaamua kujitukana na kujijibu..
hahahahahaha Minions wake ni the likes of Matola... Huyo bwana anakula vumbi Kinondoni lakini wabeba box ni kama mabwana zake. Sijui wanamtumiaga Iphone heheheheNipo kaka,
Ila leo nimecheka pale Nyani Ngabu alipoamua kuita MINIONS wake.
Nashangaa tu sijamuona MATOLA akija kushusha matusi kama mwehu.
hahahahahaha Minions wake ni the likes of Matola... Huyo bwana anakula vumbi Kinondoni lakini wabeba box ni kama mabwana zake. Sijui wanamtumiaga Iphone hehehehe
Jamaa sijui ana roho ya Kigadaffi!Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..
Usijifiche sana hivyo si unajua anavyopenda shari... hahahahaha sasa kakosa wa kwenda nae battle anaamua kujitukana na kujijibu..
Ahahahaa yaani gazeti lote hilo unanijadili mimi tu?Amenichekesha sana anavyohisi watu wanamtukana kwasababu wanamuonea kawivu fulani.
Nakumbuka kuna siku nilikuwa nataka nithibitishe kitu fulani hivi jamaa kweli akaingia kingi akafurumusha maneno fulani akihisi anathibitisha umwamba.
Nakumbuka wakati nasoma Psychology niligundua hakuna ambacho mwanadamu anaweza kuficha kabisa.
Hakipo hata kimoja, unaweza kusema kwamba mtu hawezi kujua unachokiwaza na kweli anaweza asijue yote lakini akajua wewe nu mtu wa aina gani na mawazo yako ni ya aina ipi. Ukitaka usifahamike inabidi uchunge sana kauli zako. Kuna msemo huwa tunasema "OUT OF THE ABUNDANCE OF THE HEART, THE MOUTH SPEAKS" kama mimi nasikiliza tu maneno yako machache halafu najua wewe ni mtu wa namna gani.
Sasa sifa moja ya mtu mwenye kiburi au jehuri,
Ni FUNDAMENTAL INSECURITIES. Ukiona mtu jehuri mwenye kiburi jua umekutana na mtu asiyejiamini. Siku zote huwa ipo hivyo. Na mara nyingi huwa namkorofisha maksudi na jamaa huwa anazama kwenye mtego kikubwa anchofanya ni kuita MINIONS ili wamsaidie kulinda personality.
Yeye binafsi anaamini akichafuliwa basi ndiyo mwisho wake.
Huu ni UGONJWA WA KISAIKOLOJIA unaitwa GRANDIOSE DELUSIONAL DISORDER.
Mtu anaamini yeye ni Mfalme, amezaliwa kuwa raisi, ana utajiri kuliko wote, anapendwa sana , yeye kaziliwa kuwanyoosha watu, na wanaamini kwamba mawazo yao ni sahihi na sikuzote wao ndiyo wazungumzaji wa kila kitu na lazima wachangie hoja.
Wanasaikolojia wanasema hawa watu wakipata hata UBUBU wanaweza kufa ndani ya wiki tu.
THIS GUY IS A PSYCHIATRIC CASE.
hahahahahaha Minions wake ni the likes of Matola... Huyo bwana anakula vumbi Kinondoni lakini wabeba box ni kama mabwana zake. Sijui wanamtumiaga Iphone hehehehe
Ahahahaa yaani gazeti lote hilo unanijadili mimi tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]See?
Grandiose Delusional Disorder.
Mimi siongezi chochote... Ngoja aite Minions wamtetee..Amenichekesha sana anavyohisi watu wanamtukana kwasababu wanamuonea kawivu fulani.
Nakumbuka kuna siku nilikuwa nataka nithibitishe kitu fulani hivi jamaa kweli akaingia kingi akafurumusha maneno fulani akihisi anathibitisha umwamba.
Nakumbuka wakati nasoma Psychology niligundua hakuna ambacho mwanadamu anaweza kuficha kabisa.
Hakipo hata kimoja, unaweza kusema kwamba mtu hawezi kujua unachokiwaza na kweli anaweza asijue yote lakini akajua wewe nu mtu wa aina gani na mawazo yako ni ya aina ipi. Ukitaka usifahamike inabidi uchunge sana kauli zako. Kuna msemo huwa tunasema "OUT OF THE ABUNDANCE OF THE HEART, THE MOUTH SPEAKS" kama mimi nasikiliza tu maneno yako machache halafu najua wewe ni mtu wa namna gani.
Sasa sifa moja ya mtu mwenye kiburi au jehuri,
Ni FUNDAMENTAL INSECURITIES. Ukiona mtu jehuri mwenye kiburi jua umekutana na mtu asiyejiamini. Siku zote huwa ipo hivyo. Na mara nyingi huwa namkorofisha maksudi na jamaa huwa anazama kwenye mtego kikubwa anchofanya ni kuita MINIONS ili wamsaidie kulinda personality.
Yeye binafsi anaamini akichafuliwa basi ndiyo mwisho wake.
Huu ni UGONJWA WA KISAIKOLOJIA unaitwa GRANDIOSE DELUSIONAL DISORDER.
Mtu anaamini yeye ni Mfalme, amezaliwa kuwa raisi, ana utajiri kuliko wote, anapendwa sana , yeye kaziliwa kuwanyoosha watu, na wanaamini kwamba mawazo yao ni sahihi na sikuzote wao ndiyo wazungumzaji wa kila kitu na lazima wachangie hoja.
Wanasaikolojia wanasema hawa watu wakipata hata UBUBU wanaweza kufa ndani ya wiki tu.
THIS GUY IS A PSYCHIATRIC CASE.
Yeah...ID yangu ingine ni Valentina...ingine ni Shunie...hata Kasinde ni yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa sijui ana roho ya Kigadaffi!
Jamaa ana ji quote na kujitukana mwenyewe kama kavimbiwa uporo wa kande!!
Hahaha jamaa ana i'ds za kike anajitongozesha na kusema zama pm hahaha midume inabaki haiamini kama demu kamwambia mshkaji zama pm kumbe id ni yake hahaha kweli dunia ina mambo ya kiseng sana!!
Unapenda kunitaja taja eh?Nipo kaka,
Ila leo nimecheka pale Nyani Ngabu alipoamua kuita MINIONS wake.
Nashangaa tu sijamuona MATOLA akija kushusha matusi kama mwehu.