Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
I thought they meant the othre fellow ambaye alikuwa anakukandia. Well miafrika ndivyo tulivyo.
 
Huyo kanipunja leo....muda si mrefu ataibuka mwingine aseme nina 50 na kitu.

Wapo wataoibuka na kudai nina 70....

Yaani ili mradi tu...
Kuanzia leo sikutakiiii mimi na wazee mbali mbalii nahamia kwa @toz25
 
Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".

Sasa wewe jamaa si ndo mimi huyu huyu....kwa nini unanitukana sasa?

Yaani unajitukana mwenyewe?
 
Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo Us
 
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo Us

Leo mimi ni Mhaya kwa hiyo nipo Karagwe. Kwa leo kwetu ni Karagwe.

Kesho labda ntakuwa Mnyalu na kwetu kutakuwa IpogoroπŸ˜€.
 
Leo mimi ni Mhaya kwa hiyo nipo Karagwe. Kwa leo kwetu ni Karagwe.

Kesho labda ntakuwa Mnyalu na kwetu kutakuwa IpogoroπŸ˜€.
Akija malcom humu atasema yake ila ndio vyema kabisaa
 
Kumbe na jina alikuiga pia aiseee huyu Ngabu mbona mbaya hivyo ,halaf yupo huko Bariadi anadanganya watu yupo Us

Kakwapua jina langu hadi nikaamua kujiita "Ndjabu Da Dude". Nilikuwa najulikana kama "Njabu Ngabu".
 
Kakwapua jina langu hadi nikaamua kujiita "Ndjabu Da Dude". Nilikuwa najulikana kama "Njabu Ngabu".

Sasa we jamaa niliibaje jina lako wakati wewe ndo mimi na hiyo ID yako ya Ndjabu Da Dude ni ID yangu ingine tu?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Manake hata hapa najiongelesha mwenyewe tu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nigga fcuuk you.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…