Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Nilisha ushtukia mchezo wake kitambo sana
Hehehehee dogo anatia huruma sana.. Ukienda kwenye thread za huyo Njabu alizoanzisha kuanzia 2009-2013 utaona zote huyo Nyani kazicomment tena kwenye page ya kwanza kabisa kabla hata comment hazijafika 10..

Sasa jiulize hiyo ni coincidence ya namna gani?
 
Mna kazi kweli ya kupenda na kutaka kunijua hadi mnatia huruma.

Yaani kabisa mshajiaminisha kuwa mimi ndo Ndjabu halafu nakuja humu najitukana mwenyewe?

Like really? Seriously? Sasa kama IDs zangu zingine zilishakuwa merged na hii ya Nyani Ngabu kwa nini hiyo ya Ndjabu haijawa merged ilhali inaporomosha matusi kiasi hicho?

Watu mnadandia tu treni kwa mbele bila hata kujua wenzenu tumeanzia bcstimes.com.

Na hata jina langu hili lilikuwa inspired na huyo Ndjabu.....enzi hizo akijiita Njabu Ngabu halafu baadae ndo akaja kuitwa Nyani Ngabu na Raj Patel.

Kuna historia hapa inayorudi miaka 10-11 iliyopita. Watu hamuijui na mnaishia kuja na hallucinations zenu za ajabu ajabu tu. Y'all are pitiful.

Kinachonifurahisha zaidi ni jinsi ambavyo mnavyokosea na hamjui hata kuwa mnakosea.

Hiyo inanipa imani kubwa sana juu ya faragha yangu. Kwamba mpaka hivi sasa hakuna anayenijua wala kujua chochote juu yangu zaidi ya kuhisi hisi tu.

I pat myself on the back.

Maxence Melo hebu njoo ukate mzizi wa fitna hapa.

Kama mimi ndo Ndjabu basi naomba unipe lifetime server ban.

Ila kwa jinsi mlivo sitashangaa mkianza kudai mi ndo huyo huyo Maxence Melo na kwamba eti najiita nije nijipe lifetime ban mwenyewe [emoji23] [emoji23].

Mnachekesha kweli nyie watu.
 
Jamani lengo la mkuu Ngabu sio kuonyesha anavaa design gani ila ni kuona ufahari wa mTZ mwenzetu ambapo amefikia. Jamani kutangaza nguo za akina RL nk ni kuwa amefika mbali na tumuombee aendelee. Tuache roho korosho ila unajisikia kuona models wetu wametoboa. Ngabu hongera kwa kujibu kila aliyetaka jibu. Pamoja na matusi uliyooga.
 
Kinachoshangaza ni imaginations za ajabu ajabu walizonazo watu.

Hapo sitashangaa wakianzs kusema wewe ndi mimi na kwamba nimeandika na kujinukuu mwenyewe.

Manake kuna mambo mengine watu wanayarukia tu hata hawajui yameyokea wapi.

Wengine tuna watani zetu wa jadi humu kwa muda mrefu na hatukuanzia JF.

Kuna wengine tulianzia nao bcstimes.com, Nyenzi.com na hata youngafrican.com

Inastaajabisha sana watu wanaokuja na imaginations zao bila uelewa.

Oh well...what's new though? I'm used to it.
 
Km watz wanampigia Dai kura ili ashinde kwenye mashindano ya nje ya nchi kwa nini wanaona ugumu na Ms Matata kuingia kwenye designsza RL na hata wengineo? Au kwa vile yeye yupo nje ndo inakuwa shida?
 
Nipo tu kaka.
Sema daah huu mkutano aseee.
Teh teh teh teh teh........
Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..

Usijifiche sana hivyo si unajua anavyopenda shari... hahahahaha sasa kakosa wa kwenda nae battle anaamua kujitukana na kujijibu..
 
Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..

Usijifiche sana hivyo si unajua anavyopenda shari... hahahahaha sasa kakosa wa kwenda nae battle anaamua kujitukana na kujijibu..

Nipo kaka,
Ila leo nimecheka pale Nyani Ngabu alipoamua kuita MINIONS wake.
Nashangaa tu sijamuona MATOLA akija kushusha matusi kama mwehu.
 
hahahahahaha Minions wake ni the likes of Matola... Huyo bwana anakula vumbi Kinondoni lakini wabeba box ni kama mabwana zake. Sijui wanamtumiaga Iphone hehehehe

Amenichekesha sana anavyohisi watu wanamtukana kwasababu wanamuonea kawivu fulani.
Nakumbuka kuna siku nilikuwa nataka nithibitishe kitu fulani hivi jamaa kweli akaingia kingi akafurumusha maneno fulani akihisi anathibitisha umwamba.
Nakumbuka wakati nasoma Psychology niligundua hakuna ambacho mwanadamu anaweza kuficha kabisa.
Hakipo hata kimoja, unaweza kusema kwamba mtu hawezi kujua unachokiwaza na kweli anaweza asijue yote lakini akajua wewe nu mtu wa aina gani na mawazo yako ni ya aina ipi. Ukitaka usifahamike inabidi uchunge sana kauli zako. Kuna msemo huwa tunasema "OUT OF THE ABUNDANCE OF THE HEART, THE MOUTH SPEAKS" kama mimi nasikiliza tu maneno yako machache halafu najua wewe ni mtu wa namna gani.

Sasa sifa moja ya mtu mwenye kiburi au jehuri,
Ni FUNDAMENTAL INSECURITIES. Ukiona mtu jehuri mwenye kiburi jua umekutana na mtu asiyejiamini. Siku zote huwa ipo hivyo. Na mara nyingi huwa namkorofisha maksudi na jamaa huwa anazama kwenye mtego kikubwa anchofanya ni kuita MINIONS ili wamsaidie kulinda personality.
Yeye binafsi anaamini akichafuliwa basi ndiyo mwisho wake.
Huu ni UGONJWA WA KISAIKOLOJIA unaitwa GRANDIOSE DELUSIONAL DISORDER.
Mtu anaamini yeye ni Mfalme, amezaliwa kuwa raisi, ana utajiri kuliko wote, anapendwa sana , yeye kaziliwa kuwanyoosha watu, na wanaamini kwamba mawazo yao ni sahihi na sikuzote wao ndiyo wazungumzaji wa kila kitu na lazima wachangie hoja.
Wanasaikolojia wanasema hawa watu wakipata hata UBUBU wanaweza kufa ndani ya wiki tu.

THIS GUY IS A PSYCHIATRIC CASE.
 
Been hiding bro... Ndugu yako amekumiss mpaka anaamua kujitukana na kujijibu mwenyewe..

Usijifiche sana hivyo si unajua anavyopenda shari... hahahahaha sasa kakosa wa kwenda nae battle anaamua kujitukana na kujijibu..
Jamaa sijui ana roho ya Kigadaffi!

Jamaa ana ji quote na kujitukana mwenyewe kama kavimbiwa uporo wa kande!!

Hahaha jamaa ana i'ds za kike anajitongozesha na kusema zama pm hahaha midume inabaki haiamini kama demu kamwambia mshkaji zama pm kumbe id ni yake hahaha kweli dunia ina mambo ya kiseng sana!!
 
Ahahahaa yaani gazeti lote hilo unanijadili mimi tu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahaha Minions wake ni the likes of Matola... Huyo bwana anakula vumbi Kinondoni lakini wabeba box ni kama mabwana zake. Sijui wanamtumiaga Iphone hehehehe

Kitu kingine kinachomponza MATOLA ni kuwa na mwanamke wake kwenye hili Jukwaa.
Kwa hiyo anajaribu kutunisha misuli aonekane kijogoo. Huu nao ni ugonjwa wa kisaikolojia pia.
 
Mimi siongezi chochote... Ngoja aite Minions wamtetee..

Ila ulichosema ni 100% ukweli mtupu. Ndio maana mara ahangaike kuweka vipicha vya neighborhood, mara gym... Kuna siku akaweka eti bank account yake ina $ 4,000,000. Niliishia kucheka tu anavyohangaika... Sasa hapa naona anahangaika na kujitukania mama na kujijibu, huyu dogo anashangaza mno..
 
Yeah...ID yangu ingine ni Valentina...ingine ni Shunie...hata Kasinde ni yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nipo kaka,
Ila leo nimecheka pale Nyani Ngabu alipoamua kuita MINIONS wake.
Nashangaa tu sijamuona MATOLA akija kushusha matusi kama mwehu.
Unapenda kunitaja taja eh?

Safi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…