Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Indeed when i went to Congo working with The ICRC,
I saw rebels with similar disorder its called PSYCHOSIS i helped them and i can help you too.
And i will make it free of charge i promise.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Indeed when i went to Congo working with The ICRC,
I saw rebels with similar disorder its called PSYCHOSIS i helped them and i can help you.
And i will make it free of charge i promise.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehehehehe nimeingia kwenye hiyo ID ya Njani sijui.. Thread za 2009/10 zote alizoanzisha huyo mtu, comment 3 za mwanzo basi utamkuta huyo Nyani naye yumo.. Tena mwaka huo huo alikuwa na ID zingine mbili moja ikiitwa Julius na nyingine Omega.

Ila hiki cha kujiongelesha na kujijibu mimi nabaki nashangaa tu, is he that boring???? au ndio huo ugonjwa wa Grandiose
 
Indeed when i went to Congo working with The ICRC,
I saw rebels with similar disorder its called PSYCHOSIS i helped them and i can help you.
And i will make it free of charge i promise.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Oh by the way, leo mi ni kabila gani vile? Au bado niko Mnyalu?
 
Kwa kweli silifahamu,
Na hata nikilijua halitaniongezea mshahara.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Okay, na baba yangu alisomeshwa na Nyerere na anafanya kazi serikalini eeh?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila wale mademu zake sasa.
 
Ila wale mademu zake sasa.
Si unaona anavyohangaika kuwaita ita hapo ili waje kutukana apate upenyo wa kukimbia.. hehehehe huyu Mmarekani wa Shinyanga anafurahisha sana.. Mmarekani amekulia UDSM na NY ila anaongea kisukuma kama hana akili nzuri..

Siku zile nilikuwa nakuona tu unavyomchora na kumpa sifa kede kede na yeye akawa anazifurahia kweli hahahaha..
 
Kumbe uliandika kwenye Diary?
I'm Impressed.
 
Haaahaaaaaa.
Saa hizi nashangaa hajawaita kabisa Mandundami wake.
Oyaa Nyani Ngabu viite vile VYUMA CHAKAVU vije kukusaidia.
Hasa hasa yule anayesemaga UMEMKOROGA MAINI VIZURI.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haaahaaaaaa.
Saa hizi nashangaa hajawaita kabisa Mandundami wake.
Oyaa Nyani Ngabu viite vile VYUMA CHAKAVU vije kukusaidia.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huko mwanzo alishaviita naona vimempuuza... Navyo vimeanza kujua jamaa ni mgonjwa wa akili hehehehehe
 
Hahhaaa...nimecheka sana....kazi ipo. Nyani Ngabu usiingie mitini kama nyani wa ukweli.
 
Bahati mbaya ViciousRecklessSavage!!! ilipigwa server ban 2007 au sijui 2008 na postings zangu zote zikawa automatically deleted.
 
Hahhaaa...nimecheka sana....kazi ipo. Nyani Ngabu usiingie mitini kama nyani wa ukweli.

Kheeee niingie mitini kivipi wakati napenda kujiongelesha na kujitukana na kujijibu mwenyewe?

Teh teh teh...yaani najiambia mwenyewe nisiingie mitini halafu narudi kujijibu mwenyewe.

Shit is beyond hilariousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Now what bitch boy...still wanna scrap?

Haya nasubiri unitukane nijitukane mwenyewe.
 
Bahati mbaya ViciousRecklessSavage!!! ilipigwa server ban 2007 au sijui 2008 na postings zangu zote zikawa automatically deleted.

Hata huyo VRS naye ndo mimi tu.

Oh na yule Nyama Hatari je?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Up yours, though.
 
Wee Nyani Ngabu nimegundua wee lazma utakuwa una sumbuliwa na ugonjwa wa GRANDIOSE DELUSIONAL DISORDER Kama jamaa alivyo sema hapo juu!

Ndjabu Da Dude hii id ni ya kwako 100%!

Ulicho kifanya ulichukua baadhi ya maneno kwenye ile id yako ya zamani ambayo jf wali unganisha na hii id yako unayo tumia sasa! Id uliyo chukua
Maneno inaitwa (Floribert Njabu)

Ulicho kifanya wewe ni kutoa maneno kwenye id ya floribert njabu na kuunda id ambayo ndiyo unayo tumia kujiongelesha na kujitukana mwenyewe

(Ndjabu)=(Njabu)

Unacho kifanya ni utoto au ubongo wako 95% una matatizo!!

Fake id zako nyingine ni:

-Nyani MacCain
-Floribert Njabu
-Omega Psi Phi

Hizo zote ziliunganishwa baada ya jf kugundua michezo yako!!

Bado una id nyingine za kike!!

Mkitaka kuamini huyu jamaa ana matatizo ya akili alikuja na fake id kabla haijaunganishwa na kujitangaza kuwa kafa

hiyo thread hii hapa chini
Nyani Ngabu kafa!![URL="http://[/b][/size]"][/URL]
[URL="http://[/b][/size]"][/url]
[URL="http://[/b][/size]"][/URL][/b][/size]
 
This is comedy!

Mnahangaika mno na mbaya zaidi hamjui kuwa hamjui.

Imekuchukua muda sasa kufanya huo ugunduzi wako?

Ushamaliza au bado unaendelea?

Pole sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
This is comedy!

Mnahangaika mno na mbaya zaidi hamjui kuwa hamjui.

Imekuchukua muda sasa kufanya huo ugunduzi wako?

Ushamaliza au bado unaendelea?

Pole sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahaha! FisadiKuu na MALCOM LUMUMBA wamejitolea kukusaidia bure bila malipo ubongo wako urudi katika hali ya kawaida naona umeamua kuwapuuza!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…