Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Sisi tumshauri tu kwamba atafute mtaalamu wa Saikolojia huko aliko.Kujitolea moja kwa moja kumsaidia ni jambo gumu kwa sababu za kuficha ID yake.Ila kiukweli huyu mtu ana matatizo makubwa sana ya kiakili.
 
Okay...
 
So unataka kumfahamu kila anayenukuu bandiko lako?
Kwani wewe unafikiriaje kuhusiana na hilo?

Kama barua imetumwa kwa mtu A lakini mtu B akaipoke na kuijibu kana kwamba ilikuwa ya kwake, huoni kuwa mtu B ni mwendawazimu na kuna haja ya kumfahamu ili kumsaisia apone huo ukichaa wake ili aache kupokea barua za watu kana kwamba ni zake?
 
Kwa hiyo wewe ni Mwendawazimu?
 
Kwa mfano huo ulioutoa wa watu A na B...Na ukiangalia unayoyaaandika kwenye 'thread' hii ambayo kimsingi ni 'none of your damn business'....Ni dhahiri wewe ni Mwendawazimu.
Kwa hiyo mtu A ni nani na mtu B ni nani?

Na wewe nafasi yako ni ipi?
 
Kwa hiyo mtu A ni nani na mtu B ni nani?

Na wewe nafasi yako ni ipi?
Mimi sipo hapo....

Kwani kwa mujibu wa mfano wako Mwendawazimu si ni mtu 'B'?...Haihitaji akili ya ziada kukutambua kwamba wewe ni mtu 'B'
 
Mimi sipo hapo....

Kwani kwa mujibu wa mfano wako Mwendawazimu si ni mtu 'B'?...Haihitaji akili ya ziada kukutambua kwamba wewe ni mtu 'B'
Na mtu A ni nani? na barua ni ipi?

Kwa nini useme haupo ili hali upo na tunajadili sote?
 
Na mtu A ni nani? na barua ni ipi?

Kwa nini useme haupo ili hali upo na tunajadili sote?
Wewe uliyetoa huo mfano ndiye unajua Mtu A ni nani na barua ni ipi...Unataka nikujibie ilhali jibu unalo?...

Ila kwa mtu B tayari nimekuambia...Ni wewe...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…