ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Wewe ni nani?Una Uhakika NN na Ndjabu ni mtu mmoja??
Uhakika unaotaka unaupeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni nani?Una Uhakika NN na Ndjabu ni mtu mmoja??
Sisi tumshauri tu kwamba atafute mtaalamu wa Saikolojia huko aliko.Kujitolea moja kwa moja kumsaidia ni jambo gumu kwa sababu za kuficha ID yake.Ila kiukweli huyu mtu ana matatizo makubwa sana ya kiakili.CHARMILTON Kuna member hapo juu kajitolea bure kumsaidia! Jamaa ni mgonjwaa ila watu wanachukulia tupo hapa ku joke au kufurahisha hadhara!!
Kitu ambayo nilishtuka kuwa huyu ndugu siyo mzima ni pale alipo leta thread na fake id na kujitangaza kuwa "Kafariki Dunia" kwa kupigwa risasi!
Ni mtu asiye na akili pekee ndiyo anaeweza kuropoka kitu bila kujiridhisha na anacho kiongea!! Hiyo id ni ya Nyani Ngabu!!Una Uhakika NN na Ndjabu ni mtu mmoja??
Nawe ni nani?...Wewe ni nani?
Uhakika unaotaka unaupeleka wapi?
Okay...Ni mtu asiye na akili pekee ndiyo anaeweza kuropoka kitu bila kujiridhisha na anacho kiongea!! Hiyo id ni ya Nyani Ngabu!!
NB Usiniambie nikuthibitishie kama ndiyo id yake!! Sitakudhibitishia maana hutakuwa na hela ya kunilipa kupoteza mda wangu kukudhibitishia!!
Kwa nini unataka kunifahamu?Nawe ni nani?...
Huo uhakika ulio nao kwamba NN ni Ndjabu ni kwa ajili ya nini sasa?....
Kwa sababu wewe ndiye uliyeanza kuquote post yangu!Kwa nini unataka kunifahamu?
Kwa nini unataka nikujibu?
So unataka kumfahamu kila anayenukuu bandiko lako?Kwa sababu wewe ndiye uliyeanza kuquote post yangu!
Ebu jifunze lugha fasaha ndipo uulize swali lako.So unataka kunfahamu kila anayenukuu bandiko lako?
So unataka kumfahamu kila anayenukuu bandiko lako?Ebu jifunze lugha fasaha ndipo uulize swali lako.
Hebu.....Sio 'ebu'...Ebu jifunze lugha fasaha ndipo uulize swali lako.
Kwani wewe unafikiriaje kuhusiana na hilo?So unataka kumfahamu kila anayenukuu bandiko lako?
Kwa hiyo wewe ni Mwendawazimu?Kwani wewe unafikiriaje kuhusiana na hilo?
Kama barua imetumwa kwa mtu A lakini mtu B akaipoke na kuijibu kana kwamba ilikuwa ya kwake, huoni kuwa mtu B ni mwendawazimu na kuna haja ya kumfahamu ili kumsaisia apone huo ukichaa wake ili aache kupokea barua za watu kana kwamba ni zake?
Kama neno 'EBU' lingekuwa na maana tofauti na iliyokusudiwa kwa nini ulijibu post? ina maana uliupata ujumbe uliokusudiwa si ndiyo?Hebu.....Sio 'ebu'...
Kujifanya mjuvi wa Lugha kumbe hamna kitu...Doh!
Kwa sababu zipi?Kwa hiyo wewe ni Mwendawazimu?
Kwa mfano huo ulioutoa wa watu A na B...Na ukiangalia unayoyaaandika kwenye 'thread' hii ambayo kimsingi ni 'none of your damn business'....Ni dhahiri wewe ni Mwendawazimu.Kwa sababu zipi?
Kwa hiyo mtu A ni nani na mtu B ni nani?Kwa mfano huo ulioutoa wa watu A na B...Na ukiangalia unayoyaaandika kwenye 'thread' hii ambayo kimsingi ni 'none of your damn business'....Ni dhahiri wewe ni Mwendawazimu.
Mimi sipo hapo....Kwa hiyo mtu A ni nani na mtu B ni nani?
Na wewe nafasi yako ni ipi?
Na mtu A ni nani? na barua ni ipi?Mimi sipo hapo....
Kwani kwa mujibu wa mfano wako Mwendawazimu si ni mtu 'B'?...Haihitaji akili ya ziada kukutambua kwamba wewe ni mtu 'B'
Wewe uliyetoa huo mfano ndiye unajua Mtu A ni nani na barua ni ipi...Unataka nikujibie ilhali jibu unalo?...Na mtu A ni nani? na barua ni ipi?
Kwa nini useme haupo ili hali upo na tunajadili sote?