Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
We Nyani Ngabu umeamka? Si uliniaga unaenda kulala wewe[emoji23] [emoji23]
Nimeamka bana si ulibaki kujikwot au hahahaha,ngabu we ni homaaa aisee wanaume karibia 7 wanakuwaza wewee tu we nooma
 
Nimeamka bana si ulibaki kujikwot au hahahaha,ngabu we ni homaaa aisee wanaume karibia 7 wanakuwaza wewee tu we nooma
Eti wanaume 7 wananiwaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Homa imewaelemea hadi kila mtu wanamhisi ni mimi tu.
 
Nitakujibu tu kutokana na heshima yako hapa jf!

Nitakuwa sijakutendea haki kama sitokupuuza!!

N:B sitengemei kama nitakujibu tena!! Thanks.
Kumbe humu kuna heshima sikujua
 
Anioe namba plzzz nimempendaa yaan lile jibu lake tu mim hoi
Inabidi uwe na special thread kabisa
Mimi sihitaji special thread.

Nahitaji jukwaa langu kabisa ili hawa ma fans wangu wote wawe na sehemu yao mahsusi ya kufunguka.
 
Uuuuuh cheki hilo povu[emoji23] [emoji23] .

Let not your heart be troubled.

Leo nipo hapa kukutimizia ndoto yako ya kukwotiwa na Nyani Ngabu.

Najua hapo ulipo unaruka ruka kama mcheza netiboli kwa jinsi ulivofurahi[emoji23]

Halafu naona umewaita mashosti wako mje mfurahie pamoja eh?

Safi sana maana vizuri lazima ule na nduguzo.

Ni vizuri kuambukizana furaha ati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Twenzetu...ila leo tusiwe wachoyo. Tuwaalike na hawa ma fans wangu.

Au unasemaje?
Kwani mi na choyo basiii,,,leo tunaenda ATM ipi kutoa pesa maana ile ATM iliishiwa pesa sitaki tena nataka ATM isiyoishiwa pesa utoe zibaki wasije na wengine wakakosa pesa tusiwe wabinafsi
 
Uuuuuh cheki hilo povu[emoji23] [emoji23] .

Let not your heart be troubled.

Safi sana maana vizuri lazima ule na nduguzo.

Ni vizuri kuambukizana furaha ati[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kudadekiii,
vizuri kula na mwenzio, unataka kunipa nini?
😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Ni vizuri kuambukizana furaha ila mimi mwenzako siyo choko. I'm not a septic lover.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ila kauli zako wewe jamaaa duuuuuh zinazidi kunipa mashaka sana.
 
Sasa matusi ya nini?

Anyway kwa vile we ni fan wangu nakusamehe[emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Swali...hivi unaweza ukapitisha siku hujaniwaza wewe?
 
Sasa matusi ya nini?
Swali...hivi unaweza ukapitisha siku hujaniwaza wewe?

Kusema ukweli "What happens in JF stays in JF" huwa sitoki na kitu hapa.
Na kwa bahati mbaya huwa nafahamu kama wewe upo hapa duniani pindi ninapokuwa humu ndani tu.
Lakini zaidi ya hapo huwa siwazi kingine zaidi ya kuwaza kumwandalia dada Bensouda report za akina Joseph Konyi, Ntaganda, Rich Machar na wengineo. Hawa ndiyo huwa nawawaza masaa yote kwasababu wanaushawishi mkubwa hapa duniani.
Wewe huna umuhimu wowote nje ya JF hadi ufanye mimi YOUNG MALCOM nikuwaze hata kidogo tu.
 
Mkuu huyu jamaa tumpuzie!!
 
Wacha weee...ona unavojielezea mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ntakutumia poster yangu uibandike chumbani kwako ili uwe unaniona 24/7.

I care a lot about my fans, you know.

Thank you for being a card carrying member of my fan club.

You're appreciated!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…