Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nimeamka bana si ulibaki kujikwot au hahahaha,ngabu we ni homaaa aisee wanaume karibia 7 wanakuwaza wewee tu we noomaWe Nyani Ngabu umeamka? Si uliniaga unaenda kulala wewe[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamka bana si ulibaki kujikwot au hahahaha,ngabu we ni homaaa aisee wanaume karibia 7 wanakuwaza wewee tu we noomaWe Nyani Ngabu umeamka? Si uliniaga unaenda kulala wewe[emoji23] [emoji23]
Anioe namba plzzz nimempendaa yaan lile jibu lake tu mim hoiHuyo naye ni Nyani Ngabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakujibu tu kutokana na heshima yako hapa jf!Inakuuma akiharibika kumbe sikujua
Eti wanaume 7 wananiwaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeamka bana si ulibaki kujikwot au hahahaha,ngabu we ni homaaa aisee wanaume karibia 7 wanakuwaza wewee tu we nooma
Kumbe humu kuna heshima sikujuaNitakujibu tu kutokana na heshima yako hapa jf!
Nitakuwa sijakutendea haki kama sitokupuuza!!
N:B sitengemei kama nitakujibu tena!! Thanks.
Twende basi kule tukale kukuEti wanaume 7 wananiwaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Homa imewaelemea hadi kila mtu wanamhisi ni mimi tu.
Mimi sihitaji special thread.Anioe namba plzzz nimempendaa yaan lile jibu lake tu mim hoi
Inabidi uwe na special thread kabisa
Uuuuuh cheki hilo povu[emoji23] [emoji23] .Mhhhhhhhhh,
Hivi wewe jamaa hawatindui marinda kweli?
Maana ndoto nyevu huwa tunapata wanaume tu na siyo mademu.
Lazima utakuwa timu pinzani wewe siyo bure kabisaaaa.
Maneno gani ya kuongea na mwanaumwe haya?
FisadiKuu na Jambazi njoo muone wenyewe.
Hata kama matusi huwezi kuzungumza hivi kama wewe ni mwanaume lijali.
Aiseeeee!!!!
Twenzetu...ila leo tusiwe wachoyo. Tuwaalike na hawa ma fans wangu.Twende basi kule tukale kuku
Ngabu kibogoyo hawezi kumung'unya ubuyu huoHeheheh ni ubuyu wa ngabu tu
Kwani mi na choyo basiii,,,leo tunaenda ATM ipi kutoa pesa maana ile ATM iliishiwa pesa sitaki tena nataka ATM isiyoishiwa pesa utoe zibaki wasije na wengine wakakosa pesa tusiwe wabinafsiTwenzetu...ila leo tusiwe wachoyo. Tuwaalike na hawa ma fans wangu.
Au unasemaje?
Uuuuuh cheki hilo povu[emoji23] [emoji23] .
Let not your heart be troubled.
Safi sana maana vizuri lazima ule na nduguzo.
Ni vizuri kuambukizana furaha ati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe Valley ndo Nyani Ngabu ila huwa unajifanya demu humu JF [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngabu kibogoyo hawezi kumung'unya ubuyu huo
Sasa matusi ya nini?Kudadekiii,
vizuri kula na mwenzio, unataka kunipa nini?
😱😱😱😱😱😱😱😱😱
Ni vizuri kuambukizana furaha ila mimi mwenzako siyo choko. I'm not a septic lover.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ila kauli zako wewe jamaaa duuuuuh zinazidi kunipa mashaka sana.
Jiandae tunakupitiaaaNgabu kibogoyo hawezi kumung'unya ubuyu huo
Sasa matusi ya nini?
Swali...hivi unaweza ukapitisha siku hujaniwaza wewe?
Mkuu huyu jamaa tumpuzie!!Mhhhhhhhhh,
Hivi wewe jamaa hawatindui marinda kweli?
Maana ndoto nyevu huwa tunapata wanaume tu na siyo mademu.
Lazima utakuwa timu pinzani wewe siyo bure kabisaaaa.
Maneno gani ya kuongea na mwanaumwe haya?
FisadiKuu na Jambazi njoo muone wenyewe.
Hata kama matusi huwezi kuzungumza hivi kama wewe ni mwanaume lijali.
Aiseeeee!!!!
Wacha weee...ona unavojielezea mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kusema ukweli "What happens in JF stays in JF" huwa sitoki na kitu hapa.
Na kwa bahati mbaya huwa nafahamu kama wewe upo hapa duniani pindi ninapokuwa humu ndani tu.
Lakini zaidi ya hapo huwa siwazi kingine zaidi ya kuwaza kumwandalia dada Bensouda report za akina Joseph Konyi, Ntaganda, Rich Machar na wengineo. Hawa ndiyo huwa nawawaza masaa yote kwasababu wanaushawishi mkubwa hapa duniani.
Wewe huna umuhimu wowote nje ya JF hadi ufanye mimi YOUNG MALCOM nikuwaze hata kidogo tu.
Na wewe pole kwa kazi ngumu uloifanya.Mkuu huyu jamaa tumpuzie!!