Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Lengo langu siyo wewe kunitaka nikuthibitishe hiyo issue, bali kujijua kuwa una matatizo.Naamini sasa umeshajigundua, kazi iliyobaki ni kutafuta tiba.
 
Lengo langu siyo wewe kunitaka nikuthibitishe hiyo issue, bali kujijua kuwa una matatizo.Naamini sasa umeshajigundua, kazi iliyobaki ni kutafuta tiba.
We Nyani Ngabu kwa nini unahangaika na mimi?

Huna maisha kwani?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ndo Nyani Ngabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Thibitisha kuwa wewe si Nyani Ngabu.
Unaanzaje kunifananisha na Nyani?

Mimi sina tabia za kinyani, wala sina haja ya kuthibitisha hilo.Uzuri ujumbe umeupata, siyo mbaya.
 
Unaanzaje kunifananisha na Nyani?

Mimi sina tabia za kinyani, wala sina haja ya kuthibitisha hilo.Uzuri ujumbe umeupata, siyo mbaya.
Wewe ndo Nyani Ngabu unakuja humu na kujikwoti mwenyewe na kujipa ushauri.

We jamaa ni mgonjwa kweli.

Halafu eti unajiambia ujumbe umeupata.

Yaani we jamaa wewe.
 
We Nyani Ngabu kwa nini unahangaika na mimi?

Huna maisha kwani?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulileta mada ya kipumbavu hapa, baada ya kuona umepata upinzani mkali ukaamua kujianzisha mjadala wa kujitukana ili kuwapumbaza wajumbe.Uzuri humu kuna watu wenye akili, ukashtukiwa na kushauriwa.Sasa unataka kupumbaza watu kuwa mimi ndio wewe?

Hapana! hutoweza, ujinga wako unafahamika, tafuta tiba maana maradhi yako yanatibika.
 
Wewe Nyani Ngabu acha kujikana na kujitukana hapa.

Kapimwe akili.
 
Wewe ndo Nyani Ngabu unakuja humu na kujikwoti mwenyewe na kujipa ushauri.

We jamaa ni mgonjwa kweli.

Halafu eti unajiambia ujumbe umeupata.

Yaani we jamaa wewe.
Ebu mwiite mtu mmoja mwenye mawazo ya kipumbavu ya kuamini kuwa mimi ni wewe?
 
Ebu mwiite mtu mmoja mwenye mawazo ya kipumbavu ya kuamini kuwa mimi ni wewe?
We hata ujikane mpaka mbinguni bado utakuwa Nyani Ngabu tu.

Kama unajitukania hadi mama yako nini kujikana mwenyewe bana....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapa alikuwa na fake id kabla haija unganishwa na nyani ngabu

Jamaa alijitangaza kuwa amepigwa risasi!!
 
Huwa anashindaga humu na hao mahouse girl wake.. Hanaga kazi za kufanya huyo.. Maisha ya JF anayachukulia serious kweli kweli maana hana maisha mengine zaidi ya haya..

kui
Eeeeeh wajameni kuna watu wana ma housegirl humu ? Ndio kina nani hao ?
 
We hata ujikane mpaka mbinguni bado utakuwa Nyani Ngabu tu.

Kama unajitukania hadi mama yako nini kujikana mwenyewe bana....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni jambo lisilo na faida kuendelea kubishana na shoga mjinga.Maadam nimegundua kuwa wewe ni shoga mwenye matatizo ya kiakili ninakupuuza rasmi! Sasa hivi najiandaa kucheki boli la Liver na Man UTD.Najua wanawake na mashoga hamnaga passion kwenye football.Mwisho nasema pole kwa matatizo yanayokukabili, jitahidi kutafuta tiba maana yanatibika.
 
Hehehehehe ndio zake huyo.. Akikosa kabisa spotlight anajizushia kifo au anaanzisha thread eti wanaume wa marekani wananukia..
 
Huyu ndiyo Nyani Ngabu watu wanajimilikisha magorofa wewe unajimilikisha ma fake id! na kujitangaza umekufa ili kuitisha michango ya kuleta maiti Tanzania kumbe kumbe lijitu lizima

Ulikuwa unataka kutapeli watu wakakushtukizia
 
Hehehehehe ndio zake huyo.. Akikosa kabisa spotlight anajizushia kifo au anaanzisha thread eti wanaume wa marekani wananukia..
Mkuu nimewahi kushuhudia mtu akikanyagwa na semi na kufa papo hapo tena mara mbili.Kiukweli unaposhuhudia lile tukio unapata hisia za kuhuzunisha na kusikitisha sana kwa sababu aliyekufa ni binadamu mwenzangu.Ata kama aliyekufa ni adui yako, zile hisia ndio nazopata pale ninapojua kuwa kuna ME mwenzetu anapigwa pipe na walaunga weusi.
 
Huyu ndiyo Nyani Ngabu watu wanajimilikisha magorofa wewe unajimilikisha ma fake id! na kujitangaza umekufa ili kuitisha michango ya kuleta maiti Tanzania kumbe kumbe lijitu lizima

Ulikuwa unataka kutapeli watu wakakushtukizia
Hahahahaha angeingiza watu mkenge tapeli huyo..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…