ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Lengo langu siyo wewe kunitaka nikuthibitishe hiyo issue, bali kujijua kuwa una matatizo.Naamini sasa umeshajigundua, kazi iliyobaki ni kutafuta tiba.Ona sasa....umeanza kutukana...dalili ya kitu kupenya hiyo.
Thibitisha kuwa nimemtukana mama yangu.
Kusema tu mimi nimemtukana mama yangu na kudai watu wanaonitukana humu kuwa ndo mimi si uthibisho.
Zaidi ya hapo wewe unayeamini maruerue yako ndo mwenye matatizohalafu unaishia kuya project hayo matatizo yako kwangu.
Onyesha sasa nilipomtukana mama yangu.