Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #121
Thibitisha kuwa nimejitukana na kujinukuu tena mwenyewe na kujitukana tena.Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!
Pole kwa kudhaniwa wewe ndo mimi.Nina Id moja. Kama unaishi US unajua kuwa baada ya Halloween kuna black friday ambayo watu hata asiyeenda shop atakwenda hasa low income people. Kama hujaishi US keep quite. Mimi siyo huyo unayemhisi. Am me and will be me until I seize to be a member in JF.
Whatcha trying to say, bi.tch!Halafu we jamaa si ndo unadaiwa kuwa ni mimi...au?
Just screw yourself [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Whatcha trying to say, bi.tch!
Gay boy, listen.
Kuna watu hapa wamesema kuwa eti wewe ndo mimi.
Kwamba naandika najitukana halafu najijibu mwenyewe.
Ain't no way a sucker bitch like you can be me.
Now go eff yourself.
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
😀😀😀😀 lakini JF mnapenda kunivunja mbavu zangu sijui kwanini hahahahahahhah.
Vitu vingine bwana....yaani hapa sijakuelewa bado unataka kumaanisha nini.
Mambo mengine inabidi upotezee. Watu na stress zao, wanakuja kuzipunguzia JF!Sio tu nawanyima usingizi. Ni kwamba Ngabu kayatawala mawazo yao hadi wanakuwa wanadhani kila anayepost humu na kunitukana eti ndo mimi mwenyewe.
Hata hapa sitashangaa wakidai wewe ndo mimi. Kwamba nimeandika na kujinukuu mwenyewe.
Talk about hallucinations...[emoji23] [emoji23]
Maziku Masunga ndo Nyani Ngabu[emoji23] [emoji23]
Hata Kasinde ndo huyo huyo Nyani Ngabu
Dinazarde naye ndo huyo huyo Nyani Ngabu
Valentina naye ndo Nyani Ngabu
Honey Faith naye ndo Nyani Ngabu
shunie naye ndo Nyani Ngabu
Wenye kumfuatilia Ngabu wana kazi kweli kweli.
Ipo siku hata vivuli vyao watadhani ndo Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo mengine inabidi upotezee. Watu na stress zao, wanakuja kuzipunguzia JF!
Si ajabu!
Kila siku nagomba humu kuhusu uwezo wa watu wa kusoma na kuelewa.
Hivyo sishangai kama umesoma nilichokiandika lakini hujakielewa.
Hahaaaa haaaa mchambuzi unachambua kama karangamkuu andika kiswahili, kujua kingereza haikutoi kwenye kundi la washamba.
Hahah dah!! nipo site nagongea bati gorofa la 78 huko kidogo nidondoke na hii comment yakoVitu vingine bwana....yaani hapa sijakuelewa bado unataka kumaanisha nini.
Sikia mkuu, jaribu kutumia japo hata akili, si kila siku utumie nywele zako kufikiri. Huyo binti wa Kitanzania kavaa Ralph Lauren kwa raha zake mwenyewe na wala hatuwakilishi watanzania bali yeye mwenyewe na pengine familia yake. Wewe na sisi vinatuhusu nini na tunafaidika na nini haswa? Umewahi kujiuliza hii kitu? Narudia si lazima utumie nywele kufikiri, una kichwa na akili zako.
Fact!Sikia mkuu, jaribu kutumia japo hata akili, si kila siku utumie nywele zako kufikiri. Huyo binti wa Kitanzania kavaa Ralph Lauren kwa raha zake mwenyewe na wala hatuwakilishi watanzania bali yeye mwenyewe na pengine familia yake. Wewe na sisi vinatuhusu nini na tunafaidika na nini haswa? Umewahi kujiuliza hii kitu? Narudia si lazima utumie nywele kufikiri, una kichwa na akili zako.
Acha utoto mkuu we sasa hivi ni mtu mzima! Ila unakuwa na akili kama za mtoto wa mdogo bhana!Nilijua tu umesoma lakini hujaelewa.
Ni hivi, huyo mdada ni moja wa models wanao model mavazi ya Ralph Lauren.
Ralph Lauren ni label jina kubwa katika medani za mitindo na mavazi.
Hivyo, kwa mdada wa Kitanzania kufanya kazi na label ya Ralph Lauren ni hatua kubwa.
Umeelewa sasa?
Acha utoto mkuu we sasa hivi ni mtu mzima! Ila unakuwa na akili kama za mtoto wa mdogo bhana!
Hapa kwenye uzi wako una id mbili kubali ukatae! Maisha hayaendi hivyo kijana
Hahah dah!! nipo site nagongea bati gorofa la 78 huko kidogo nidondoke na hii comment yako
Nilijua tu umesoma lakini hujaelewa.
Ni hivi, huyo mdada ni moja wa models wanao model mavazi ya Ralph Lauren.
Ralph Lauren ni label jina kubwa katika medani za mitindo na mavazi.
Hivyo, kwa mdada wa Kitanzania kufanya kazi na label ya Ralph Lauren ni hatua kubwa.
Umeelewa sasa?
Na kama wewe havikuhusu na wala havina manufaa kwako, umekuja kufanya nini sasa humu?
Si uende kwingine huko kwenye tija....
Mkuu we kubali ile id ni yako! thread yako ilikuwa nzuri ila pale ulipo kuja kuingiza ile nyingine wajanja wakakudaka!Thibitisha kuwa hapa kwenye huu uzi nina ID mbili.
We mwenyewe nahisi umekuja na hii ID ili nikujibu kwa sababu unajua ukija na ID yako ile utapandishiwa kioo tu.
Imbecile.