Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #121
Thibitisha kuwa nimejitukana na kujinukuu tena mwenyewe na kujitukana tena.Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!
La sivyo nawe ni mhanga wa Ngabu obsession syndrome..