Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Yupo 40+. Ni zee fulani bishoo na sengesenge hivi

Teh teh teh...sasa we Njabu si ndo mimi mwenyewe huyu huyu...au?

Najiandika na kujitukana mwenyewe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.

This shit is hilarious.
 
Ahhahahaah hao hao wanakufatilia kina unachopost humu [emoji23][emoji23][emoji23],,,ila mi nakupenda tu[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]

Teh teh teh...nimeandika kuwa najipenda halafu nimejikwoti mwenyewe.

Haki ya nani vile....nadhani idadi ya vichaa ni kubwa kuliko ule utafiti ulivoonyesha.
 
Leo nina miaka 40?

Siyo 60?

Halafu leo eti nimekuwa Mhaya...

Oh, pia huyo uliyemnukuu eti ndo mimi huyu huyu najitukana halafu najinukuu mwenyewe...

Ijumaa ina vituko leo hii...
Heheheh inaenda inapungua toka 60 mpaka 40,ila nawe mzee mno hata zile kuku staki tenaa bana
Au utanipa nikalie home tu
 
Teh teh teh...nimeandika kuwa najipenda halafu nimejikwoti mwenyewe.

Haki ya nani vile....nadhani idadi ya vichaa ni kubwa kuliko ule utafiti ulivoonyesha.
Hizi id zinajipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheheh inaenda inapungua toka 60 mpaka 40,ila nawe mzee mno hata zile kuku staki tenaa bana
Au utanipa nikalie home tu

Huyo kanipunja leo....muda si mrefu ataibuka mwingine aseme nina 50 na kitu.

Wapo wataoibuka na kudai nina 70....

Yaani ili mradi tu...
 
Ngedere tu huyo. Halafu si unajua hata hilo jina lake aliniiga mimi. Si unajua alivyo choko. Nashangaa hadi leo anajiita eti "Nyani Ngabu".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom