Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Kule mwanzo nilisema wew siyo binadmu wa kawaida ona sasa!

Haya yote ni ma id ya mtu mmoja yaani jamaa kawekeza kwenye id! Bado zingine za kike unazotumia humu ndani kuwa datisha wanaume!!

-Ndjabu Da Dude
-Omega Psi Phi
-Floribert Njabu
-Nyani MacCain
-Julius
-OneManArmyMan
-Les Mer
-Nyani Ngabu
-Richard

Wee jamaa ni superpower hapa jf!!

Unacho kifanya bro ni utoto first class!!

Baadae nitaongeza fake id zote zako!!
Tajiri wa fake ID's hahahahahaha.... Linajianzishia thread alafu linacomment na kujichatisha lenyewe..
 
Ahahaaaa eti najiita mwenyewe nije whatsap nijipe ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu umeona...mara niitwe dogo....mara niitwe babu....mara niitwe mzee....yaani ili mradi tu.

Imagine sasa wangekuwa wananijua jina langu la ukweli na naishi wapi....ingekuwa balaa humu.
Hahahaha unaniua mbavu we utakua ni jinii
 
Yaani kama hapo nimejikwoti mwenyewe na kujiambia eti ninajiua mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu kuna kipindi eti jina langu la ukweli nilikuwa richard mugizi....naona siku hizi siitwi hivo tena.
 
Yaani kama hapo nimejikwoti mwenyewe na kujiambia eti ninajiua mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heheheh halaf humu leo mnajikwoti na kujijibu wenyewee mi nimechokaaa
 
Ndio...hata wewe si ndo mimi....kwa hiyo hapa eti najiongelesha mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahahhaahahahaha sasa una id mia,lakin id zako hua hujifichii bana,,unamuogopa nani humu
 
Hapo najiuliza swali mwenyewe...eti huwa namwogopa nani humu

Halafu najikwoti mwenyewe nasema huwa simwogopi mtu[emoji23]
 
Na huko kukutaja wewe na kukujadili nao ni ugonjwa gani vilee???
Wewe dada nikuombe tu usiingilie yasiyokuhusu. Mimi na wewe hatujawahi kuwa na matani hata siku nanapenda iendelee kuwa hivyo.
Be a Lady Fanya yako, na nikuombe siku nyingine ukiona Mimi nataniana na Ngabu ukae pembeni au pita tu.
Nadhani tumeelewana.
 
Jamaa sijui ana roho ya Kigadaffi!

Jamaa ana ji quote na kujitukana mwenyewe kama kavimbiwa uporo wa kande!!

Hahaha jamaa ana i'ds za kike anajitongozesha na kusema zama pm hahaha midume inabaki haiamini kama demu kamwambia mshkaji zama pm kumbe id ni yake hahaha kweli dunia ina mambo ya kiseng sana!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe dada nikuombe tu usiingilie yasiyokuhusu. Mimi na wewe hatujawahi kuwa na matani hata siku nanapenda iendelee kuwa hivyo.
Be a Lady Fanya yako, na nikuombe siku nyingine ukiona Mimi nataniana na Ngabu ukae pembeni au pita tu.
Nadhani tumeelewana.
Mkuu huyo demu mpuuzie! Hao ni wapambe wa huyu kichwa maji, hao ndiyo wanaomharibu mshkaji! Ndiyo maana sikumjibu!!
 
Mkuu usijisumbue kubishana na Dada yangu Nyani Ngabu saizi ndoa yake inampa stress sana kifupi kichwan kwake kupo ovyo kwa kipindi hiki
Mkuu huyu Ndjabu Da Dude ndiyo huyu huyu Nyani Ngabu id zake soma page za nyuma ndiyo utaelewa!!

Anajifariji kwa kujijibu mwenyewe ili mods wasimshtukie! Wakimshtukia wanataiunganisha hiyo id!!
 
Since 2005 all you talk about is homo erotic fantasies.

Gay this gay that, faggot this faggot that...

I am now more convinced than ever that you are a card carrying member of that club.
How about asking yo' mamma that question? You may also ask if she still on my dick.
WACHA NIYASEME:

Mkuu NN katika watu niliowaheshimu na kuwakubali hapa JF hata kabla ya kujiunga ni wewe.Nilidhani una fikra za kiutu uzima zilizokomaa.Kila ulichokipost hapa nilikifungua na kusoma nikiamini ni mawazo chanya yenye kujenga.

Lakini kwa huu utumbo ulioufanya umejishushia heshima sana! huna tofauti na wale mademu wa CBE waliopata DIV.5. Afadhali wao wanaishi kwenye reality ya ujinga wao maana inakuwa rahisi kuwasaidia.

Nadhani una matatizo makubwa sana kuliko unavyojua wewe ama tunavyoweza kudhania.Kwanza mada zako za hivi karibuni umekuwa na msimamo wa kuyumba mno.Huna uti wa mgongo wa kusimama peke yako kifikra.

Kubwa zaidi ni wewe kujitukana matusi ya nguoni na kumuhusisha Mama yako.Unawezaje kutumia ID nyingine kujitukana? au ilikuwa ngao ya kukwepa upinzani wa baadhi ya wachangiaji kwenye mada yako[ambayo nayo ni upuuzi mtupu]?.Ulifikiri watu wangejiunga na ID2 kukutukana kwenye ID1 ili hali wewe ukiwacheka nyuma ya PC na Tab.?....Elewa kitu kimoja, unaweza kuficha ID ila siyo mawazo.

Jambo lingine, hizi tuhuma ulizorushiwa na baadhi ya wachangiaji kama Jambazi , FisadiKuu n.k za kwamba una matatizo ya kiakili huenda zikawa kweli.Kwa jinsi ulivyokuwa unajamba jamba hapa jukwaani inaonesha una genes za ushoga zilizo active.Ndizo zinazo dictate ubongo wako na kukufanya uwaze ushoga kwa kiasi kikubwa.Kuwa na gene za ushoga kwenye mwili wa ME lazima upate mkanganyiko wa kiakili, because it is an existence of a spirit in a wrong body.

USHAURI WANGU:
Jitahidi kuwaona wataalumu wa psychology na washauri wa magonjwa ya akili wakusaidie.Najua unapinga maono ya wajumbe lakini huo ndio uhalisia.UNA ACTIVE GENES ZA USHOGA ZENYE KUKUSABABISHIA MENTAL DISTURBANCE! JITAHIDI KUWAONA PSYCHIATRISTS.
 
CHARMILTON Kuna member hapo juu kajitolea bure kumsaidia! Jamaa ni mgonjwaa ila watu wanachukulia tupo hapa ku joke au kufurahisha hadhara!!

Kitu ambayo nilishtuka kuwa huyu ndugu siyo mzima ni pale alipo leta thread na fake id na kujitangaza kuwa "Kafariki Dunia" kwa kupigwa risasi!
 
WACHA NIYASEME:

Mkuu NN katika watu niliowaheshimu na kuwakubali hapa JF hata kabla ya kujiunga ni wewe.Nilidhani una fikra za kiutu uzima zilizokomaa.Kila ulichokipost hapa nilikifungua na kusoma nikiamini ni mawazo chanya yenye kujenga.

Lakini kwa huu utumbo ulioufanya umejishushia heshima sana! huna tofauti na wale mademu wa CBE waliopata DIV.5. Afadhali wao wanaishi kwenye reality ya ujinga wao maana inakuwa rahisi kuwasaidia.

Nadhani una matatizo makubwa sana kuliko unavyojua wewe ama tunavyoweza kudhania.Kwanza mada zako za hivi karibuni umekuwa na msimamo wa kuyumba mno.Huna uti wa mgongo wa kusimama peke yako kifikra.

Kubwa zaidi ni wewe kujitukana matusi ya nguoni na kumuhusisha Mama yako.Unawezaje kutumia ID nyingine kujitukana? au ilikuwa ngao ya kukwepa upinzani wa baadhi ya wachangiaji kwenye mada yako[ambayo nayo ni upuuzi mtupu]?.Ulifikiri watu wangejiunga na ID2 kukutukana kwenye ID1 ili hali wewe ukiwacheka nyuma ya PC na Tab.?....Elewa kitu kimoja, unaweza kuficha ID ila siyo mawazo.

Jambo lingine, hizi tuhuma ulizorushiwa na baadhi ya wachangiaji kama Jambazi , FisadiKuu n.k za kwamba una matatizo ya kiakili huenda zikawa kweli.Kwa jinsi ulivyokuwa unajamba jamba hapa jukwaani inaonesha una genes za ushoga zilizo active.Ndizo zinazo dictate ubongo wako na kukufanya uwaze ushoga kwa kiasi kikubwa.Kuwa na gene za ushoga kwenye mwili wa ME lazima upate mkanganyiko wa kiakili, because it is an existence of a spirit in a wrong body.

USHAURI WANGU:
Jitahidi kuwaona wataalumu wa psychology na washauri wa magonjwa ya akili wakusaidie.Najua unapinga maono ya wajumbe lakini huo ndio uhalisia.UNA ACTIVE GENES ZA USHOGA ZENYE KUKUSABABISHIA MENTAL DISTURBANCE! JITAHIDI KUWAONA PSYCHIATRISTS.
Una Uhakika NN na Ndjabu ni mtu mmoja??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom