Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Mwambie akupe hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mpelekee Moto..Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?
NakaziaSwali lako linanipa mashaka kama umetimiza miaka18
duh nina zaidi ya huo umriSwali lako linanipa mashaka kama umetimiza miaka18
unakupeleka kwenye handaki la hela?Yeah, yeah.....
Karipoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe!Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?
Siyo mbaya, tutakukuta siku moja huko 😁😁unakupeleka kwenye handaki la hela?
Nimetukanaa weee kimoyomoyo mpaka nimechoka.Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je nifanyaje?
-----tulikutana kwenye baa moja
swali halijibiwi kwa swaliAna miaka 25 na umemzidi miaka 20 means una 45 yrs halafu unaulizwa swali kama hili?
asanteAchana nae anataka kukuchezea kisha akuache
nimetoka mpitimbiUna miaka 45 unauliza swali la kijana wa miaka 13-17. Au mkuu umetoka buzilayombo?
ok huu upumbavu uliotukuka,moja ya sifa yake kubwa,ni mtu kama wewe kujibu swali kipumbavu na hapohapo kudhania kuwa umejibu,kumbe hovyo,fyafuuuuuuuuuu,twaaaaaaaaaa,moraaaaaaaaaNimetukanaa weee kimoyomoyo mpaka nimechoka.
Nimeandika hapa kuwa ufahamu kuwa laana ya wanaJF imekufunika.
Tuna shida za kijamii lakini ya kwako siyo shida ni upumbavu uliotukuka
Umebonyezwa panic button umekurupuka na andawea kichwani.ok huu upumbavu uliotukuka,moja ya sifa yake kubwa,ni mtu kama wewe kujibu swali kipumbavu na hapohapo kudhania kuwa umejibu,kumbe hovyo,fyafuuuuuuuuuu,twaaaaaaaaaa,moraaaaaaaaa