Mdada wako wa kazi umempa password ya WIFI? Vipi kazi zinafanyika?

Mdada wako wa kazi umempa password ya WIFI? Vipi kazi zinafanyika?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort,
kazi mpaka umwambie hivi hivi hagusi.. nashukuru Mungu aliondoka ila siwezi rudia makosa.

Sasa huyu wa sasa hivi niliyempata kaja na smartphone yake na kazi anapia licha ya kumpa password shida inakuja siku nimetembelea akaunti yake nakuta amejipost tena anajipost hadi na mtoto. Namwambiaje kiustaarabu sitaki amposti mtoto mitandaoni?
 
Back
Top Bottom