Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Braza cheza mbali na passio namba 928 DDR huyo ni wife na hiyo passio nilimnunulia mm kwa pesa yangu ya malimbikizo ya kazini, usione vyaelea ..
Unachanganya madesa, yeye amesema dada mwenye Passo, wewe mke wako umemnunulia Passio na umerudia mara mbili kuandika hivyo ili kuonesha msisitizo, hivyo basi hizi ni gari mbili tofauti kabisa kama Thomson na Thompson.
Got it? Dominica njema.
 
Bestie, women's cars were never meant to impress men.

They were meant to scare them away. Sijui umenierrewa? You are missed
Nimekuelewa dada kinachokimbiwa ni ile bill ya filling station na usirogwe uingie msimu ambao matairi yake yameisha yapo kipara, Bin slum anakuhusu.
 
Hahaha Kaka hukutakiwa uone hii lol.
Kuna shosti huwa akitokewa Na mtu lazima aangalie gari anayoendesha. Anasema wooi, Mtu unaendesha probox? Hu wa nacheka sana manake wala sio mwanamke wa kuhongwa, ila anahofia asije kuonekana kama cougar ama anachunwa.

Afu umepotea nawe pia, nimekumisi. Salamu sana kwa wifi.
Nimekuelewa dada kinachokimbiwa ni ile bill ya filling station na usirogwe uingie msimu ambao matairi yake yameisha yapo kipara, Bin slum anakuhusu.
 
naona mkuu anatafuta kiki la kiaina humu..
haya atakuja mwenyewe.
 
Braza cheza mbali na passio namba 928 DDR huyo ni wife na hiyo passio nilimnunulia mm kwa pesa yangu ya malimbikizo ya kazini, usione vyaelea ..
Lakin hata passo anayo tumia wife ni T321DDR sasa sijui nani anaye ongelewa hapa
 
Jiamini wewe! ingia mzima mzima, onyesha uanaume wako kwani kutoswa umeanza wewe bwana?
Wenzio tushawahi kutoswa na mitusi juu lkn bado tumo tu wala hatutetereki kwenye game.
 
Love ama nyege mshtuko!???

4371414.jpg
sio kila anayeendesha la kwake, cheap shot! na kuhusu nyege, hapana. ni kitambo namzimia
 
Bestie, women's cars were never meant to impress men.

They were meant to scare them away. Sijui umenierrewa? You are missed
siwezi babaika na hera/gari ya mwanamke. kuna wenye magari na hera lakini humwangalii mara mbili
 
Back
Top Bottom