Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Jiamini wewe! ingia mzima mzima, onyesha uanaume wako kwani kutoswa umeanza wewe bwana?
Wenzio tushawahi kutoswa na mitusi juu lkn bado tumo tu wala hatutetereki kwenye game.
thanks for the courage mkuu.
 
Usichelewe sasa ama vp weka vitu kichwani uongeze uwezo wa kujiamini zaidi maana inawezakana huyo mtoto ni mkali sana, ukipata namba ya simu nipatie ili niweze kukupamba nitamwambia hata ww ni meneja wangu.
hahahaaaa nikipata nambake siwezi kumuonesha mtu, sembuse kumpa!!!???
 
Kazi ipo umefatilia mpaka kote uko na still bado husemu,mie namtangulizia salam na nyimbo ya Babloom inasema Mwambieni Nampenda...
 
hahahaaaa nikipata nambake siwezi kumuonesha mtu, sembuse kumpa!!!???
hahahaha......mku acha ubinafsi bana yaani pamoja na mawazo yote mazito niliyokupa bado huna imani na mimi? kweli tenda wema uende zako, fanyia kazi hayo matechnique niliyokupa sasa.
 
hahahaha......mku acha ubinafsi bana yaani pamoja na mawazo yote mazito niliyokupa bado huna imani na mimi? kweli tenda wema uende zako, fanyia kazi hayo matechnique niliyokupa sasa.
nashukuru sana kwa matechnique lkn swala la namba nope!
 
nashukuru sana kwa matechnique lkn swala la namba nope!
hahahaha.......basi sawa mkuu ila wanakwambia kizuri kula nduguyo sasa msemo wa wahenga wetu kama huwo ww umeuchukuliaje au umeubakiza tu kwenye makaratisa ya necta?
 
Au nikuwekee na number yake ya simu kabisa... jina lake linaaniza na N...
 
Ukimkosa njoo pangani nikupeleke kwa mzee fulani ukachukue dawa,hutojuta nakuhakikishia
 
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.

Hahaha Kaka hukutakiwa uone hii lol.
Kuna shosti huwa akitokewa Na mtu lazima aangalie gari anayoendesha. Anasema wooi, Mtu unaendesha probox? Hu wa nacheka sana manake wala sio mwanamke wa kuhongwa, ila anahofia asije kuonekana kama cougar ama anachunwa.

Afu umepotea nawe pia, nimekumisi. Salamu sana kwa wifi.
Shkamoo dada king`asti......
 
Back
Top Bottom