dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
- Thread starter
-
- #41
thanks for the courage mkuu.Jiamini wewe! ingia mzima mzima, onyesha uanaume wako kwani kutoswa umeanza wewe bwana?
Wenzio tushawahi kutoswa na mitusi juu lkn bado tumo tu wala hatutetereki kwenye game.
hakikisha kwenye gari yako hukosi kilainishi
Usichelewe sasa ama vp weka vitu kichwani uongeze uwezo wa kujiamini zaidi maana inawezakana huyo mtoto ni mkali sana, ukipata namba ya simu nipatie ili niweze kukupamba nitamwambia hata ww ni meneja wangu.thanks for the courage mkuu.
hahahaaaa nikipata nambake siwezi kumuonesha mtu, sembuse kumpa!!!???Usichelewe sasa ama vp weka vitu kichwani uongeze uwezo wa kujiamini zaidi maana inawezakana huyo mtoto ni mkali sana, ukipata namba ya simu nipatie ili niweze kukupamba nitamwambia hata ww ni meneja wangu.
hahahaha......mku acha ubinafsi bana yaani pamoja na mawazo yote mazito niliyokupa bado huna imani na mimi? kweli tenda wema uende zako, fanyia kazi hayo matechnique niliyokupa sasa.hahahaaaa nikipata nambake siwezi kumuonesha mtu, sembuse kumpa!!!???
ahsante mkuu, it's a big helpKazi ipo umefatilia mpaka kote uko na still bado husemu,mie namtangulizia salam na nyimbo ya Babloom inasema Mwambieni Nampenda...
nashukuru sana kwa matechnique lkn swala la namba nope!hahahaha......mku acha ubinafsi bana yaani pamoja na mawazo yote mazito niliyokupa bado huna imani na mimi? kweli tenda wema uende zako, fanyia kazi hayo matechnique niliyokupa sasa.
hahahaha.......basi sawa mkuu ila wanakwambia kizuri kula nduguyo sasa msemo wa wahenga wetu kama huwo ww umeuchukuliaje au umeubakiza tu kwenye makaratisa ya necta?nashukuru sana kwa matechnique lkn swala la namba nope!
Love ama nyege mshtuko!???
Kila anayetajwa siye au umeogopa tayari?sio huyo mkuu
HahahahahaahKila anayetajwa siye au umeogopa tayari?
Sio wewe kweli??Jitoe mhanga Ku sacrifice for ua love
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
Shkamoo dada king`asti......Hahaha Kaka hukutakiwa uone hii lol.
Kuna shosti huwa akitokewa Na mtu lazima aangalie gari anayoendesha. Anasema wooi, Mtu unaendesha probox? Hu wa nacheka sana manake wala sio mwanamke wa kuhongwa, ila anahofia asije kuonekana kama cougar ama anachunwa.
Afu umepotea nawe pia, nimekumisi. Salamu sana kwa wifi.
hili biti la mwendo kasiBraza cheza mbali na passio namba 928 DDR huyo ni wife na hiyo passio nilimnunulia mm kwa pesa yangu ya malimbikizo ya kazini, usione vyaelea ..