Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
mkuu kama ni wewe respond pleaseHahaaaaaaa maybe!!
mkuu anaweza kushtuka mpaka akasababisha ajari mbayaJifanye unataka kumgonga
bila shaka mkuu, ntarudi hapaMrejesho muhimu.
usinicheke mkuu, nimepatwa.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Zegesikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
Acha kufananisha starehe zetu na mambo ya kupuuzi basi.Cha Arusha hiki