Mdada wewe wa One Night Stand.

Mdada wewe wa One Night Stand.

Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.

1569544_1471230_1357974_C3A2AdeshewaC3A2C39AC399C399_____C3A2C3A2_jpg77c2e6116fa351448cba875ef6e75f64_jpgc44bf682cbf565a08c0f417071f6de47_jpgfc3c3befc471517a1d1ee14793a4b241

Mtcheww
 
Jini mahaba huyoooo nenda baharini mid night utampata
 
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.

hapo ujue hukumkatia mpunga mnene vinginevyo angekufuata siku ya pili kumbuka kaka ukitaka kula sharti nawe uliwe na maneno matupu hayavunji mfupa
 
kazi aliyoifanya bibie ilikuwa kubwa kuliko ulichokifanya wewe yani 9% kwa 91% na sheria ni moja ukipata nafas usifanye makosa ..hajaona umuhimu wa kukutafuta usike wewe kimoja tu chali (natania) ... HAYA MKUU EBU JARIBU KUSUBIRI DODO KWENYE MTI WA MUAROBAINI
 
Last edited by a moderator:
unanukia kuku wa kienyeji wewe ndo mana hajakutafuta,,,,dont get emotional or connected, wadau wengine are just looking for fun..wewe unataka kuleta mapenziiii kunoga..
Umempa ukweli. Short and clear.
 
Kweli watu mnapenda maumivu ya moyo!! hivi ushwaambiwa ana mchumba wake unachotafuta nini tena zaidi??
 
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.

Geukia kutafuta anaeelekea kwa kusample wengi tu, unaweza ukapata mwenye huduma bora kuliko zake!
 
Namfahamu na nina no yake nipm..hata mi ameshawahi kunifanya hivyohivyo na huduma zake balaah....
 
Back
Top Bottom