Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.
![]()
Mtcheww

Umempa ukweli. Short and clear.unanukia kuku wa kienyeji wewe ndo mana hajakutafuta,,,,dont get emotional or connected, wadau wengine are just looking for fun..wewe unataka kuleta mapenziiii kunoga..
Nilipoteza simu naomba tena namba yako....
hahahahahahhahahahahahahhahaaaaaa..."uuuwiiiiChezea Tgo wewe.
Unanifanya nichizi kwa kukuwaza.
Najuta kwa nini nilikutana nawe siku ile.
Bado najilaumu kwa kosa kubwa nilolifanya la kutoendelea kukushawishi unipatie namba yako, Ona nimekua kama chizi vile kwa kupitia pande zile za kinywaji tulipoonana usiku ule, Ndio kila week end lazima niende pande zile labda nitaonana nawe.
Ndio ulinitajia jina lako moja tu. Ona ninavyokutafuta fesibuku, twita,gugo, linkid inn na kwingineko labda nitakuona lakini wapi.
Huduma ile ulonipatia usiku ule ndio sababu ya mambo yote haya Kwakweli tangu nizaliwe sijawahi pata service kama ile, Na sidhani kama nitaipata kwa mtu mwingine zaidi yako wewe. Hainikauki kichwani, mara kwa mara hujirudia.
Ndio ulinambia unamchumba ako na usingependa nikusumbue nikakuharibia mahusiano na huyo mchumba ako, Ukanikatalia kunipa namba yako ya simu, nikakusisitiza ukakubali kuchukua yangu then ukasema utanipigia, Siku Miezi inapita sasa bila kunipigia, Kila nikiona namba mpya inapiga kny simu yangu moyo hunilipuka nikijua ni wewe lakini la.
Naomba please kama upo humu ndani unipigie tuongee.
Umempa ukweli. Short and clear.