Mdahalo Kudai Katiba Mpya unapogeuzwa Ugaidi

Hii issue ni kuziba watu macho, waache know ujadili makato ya kwenye miamala wajadili issue ya Mh. Mbowe na katiba mpya.
Turudi kwenye mada ya miamala, hii nchi huongozwa na matukio.
Tusisahau watu ninwale wale, utawala ni ule ule. Tusitegemee mapya kwa system ya Siro, au TISS kikombe kipya mvinyo wa zamani
 
Ugaidi ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji.
 
You don’t seem to understand or support what opposition leaders stand for. We support the whole move aiming at new constitution and not correctness of a few phrases given by our leaders.
 
Polisi wameshatolea maelezo, katumia mwanya huu akijua anaenda shikiliwa.

kama mmeamua kupanua goli kivyenu ila polisi ndio wameshasema.

Huo ni mtazamo wako ulio duni kabisa.

Usituongelee tunaosimama na Lissu, Mbowe na wapenda haki wote tunaokubaliana naye.
 

Miamala tulishamaliza. Hiyo si hatutumii tena? Au?
 
Huo ni mtazamo wako ulio duni kabisa.

Usituongelee tunaosimama na Lissu, Mbowe na wapenda haki wote tunaokubaliana naye.
Kwani nimekuzuia kuamini hivyo? Nimekueleza tu hapo waliyosema polisi wewe gandana na mawazo yako pia kama mie nilivyogandana na mawazo yangu
 
Kwani si tulikubaliana kumnyoa kama tulivyo mnyoa mwenda zake? Sasa hizo nyembe tumeziweka wapi?
 
Siasa za kishamba za Mbowe zimepitwa na wakati. Awekwe jela kwanza atulie maana Jiwe alimtimua nchini alivoona kibiko yake kafa ndo karudi kwa kasi kubwa. Inabidi ashtakiwe kwa ugaidi. Huo ni ukaidi na ugaidi.

Wengine tunaona siasa za Mbowe ni za haki na usawa. Kinachotokea tulikitegemea:


Kuwekwa ndani bila kosa? Hilo mbona dogo? Watuite wote wakatuweke ndani. Waliwekwa ndani kina Paulo na Sila sembuse sisi?

Zaidi sana huna hoja zako ila ushamba uliopitiliza.

Hadi hapo unasema je?
 
Kwani nimekuzuia kuamini hivyo? Nimekueleza tu hapo waliyosema polisi wewe gandana na mawazo yako pia kama mie nilivyogandana na mawazo yangu

Maridadi kuwa tumekutana kwenye uwanja tambarare hivyo baki na m@vi yako.
 

JPM huyu huyu mwenye faili mirembe? -- in Diallo's dismay?

You must be kidding!
 
Naipokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa,masikini nchi yangu!
 

Mahakama hizi hizi zinazofanya kazi kukiwa na mhimili uliyojichimbia zaidi kuliko mingine?

Na polisi hawa hawa wanao officiate mechi ya mpira yenye umati wa watu uliofurika kuliko maelezo, ila wengine wasijumuike kwa sababu kuna Corona?

Na bunge hili hili ambalo linajishangaa kwa kupitisha sheria hizo hizo lenyewe?

Yaani kwenye mazingira haya:



Labda kama ndiyo umewasili sasa hivi kutokea sayari nyingine.
 
Polisi wameshatolea maelezo, katumia mwanya huu akijua anaenda shikiliwa.

kama mmeamua kupanua goli kivyenu ila polisi ndio wameshasema.
Polisi hawa si ndio walewale waliomua Aquilina, Mwangosi ..........? Siro, Kakwale si ndio wale wale wanaoshindana kulinda kuficha maovu yao?
 
 

Harakati za katiba zimekuwapo kabla ya JK rasimu ya katiba ya Warioba ni mwendelezo wake.

Utopolo wako peleka buseresere. Yuko kwa amani katika mapumziko atakuelewa.
 
JPM huyu huyu mwenye faili mirembe? -- in Diallo's dismay?

You must be kidding!
I swear!!!
Ali Hassan Mwinyi alikiri kuwa kwa miaka mitano mambo aliyoyafanya JPM Yeye Mwinyi, Mkapa na JK hawajawahi kufanya. That is fact. Think of these: Infrastructure, including Stigler, SGR, Roads, REA. Vile vile fiscal discipline,
Civil discipline- drug addicts walipungua, mules walipungua, at least hong kong ilikuwa inashikilia 400 tanzania citizens kwa drug trafficking ilianza kupumua.

kuhusu ukatili tunalaani, huyu hakuwa kichaa
 
Tumeruka Mkojo mbele tumekuta Jivi
 
Polisi hawa si ndio walewale waliomua Aquilina, Mwangosi ..........? Siro, Kakwale si ndio wale wale wanaoshindana kulinda kuficha maovu yao?

Ndiyo wale wa MO1, yule profesa wa Arusha na meno ya tembo, wale wa ile kesi ya Zombe, Abdul Nondo aliyekuwa na zingine bwerere wanazijua wataongezea wao.
 
Alikuwa anajipendekeza ili mwanaye apewe urais wa damu kule zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…