Mdahalo Kudai Katiba Mpya unapogeuzwa Ugaidi

Rubbish, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake.

Rubbish.


Tunajua kuipata haki kuna gharama. Tutailipa gharama hiyo.
 
Hapa nasimama na Chadema aisee.. latina mpya iliyopendekezwa ni nzuri kwa maendeleo endelevu ya nchi yetu, kugeuza kitendo cha kudai katiba mpya kuwa kosa la ugaidi ni kiashiria tosha nchi yetu inaendeshwa kidikteta pasipo sisi kujua.

Nadhani kikubwa wanachohofia kwenye hii katiba iliyopendekezwa na ile kamati ya warioba ni kupunguzwa kwa nguvu ya kuamua ya Raisi wa nchi.. na kupunguziwa kinga pia.
 
Naona wameamua kuitangazia dunia tanzania kuna ugaidi sijui kama wanajua athari zake
 
Mbowe na wenzake juzi tu waliachiwa huru na mahakama na wakaishukuru mahakama kuwa imetenda haki,
Mdude kule mbeya pia aliachiwa Mbowe akatamka mahakama imetenda haki, basi tunapaswa tuamini kuwa mahakama zetu zinatenda haki bila tatizo lolote.
wacheni vyombo vyetu vifanye kazi zake.
 
That's sad. I knew we were fighting for constitutional reform, kumbe the dude was using our movement as a shield to protect himself from terrorism accusations.
Shame on him
That,

"I knew we were fighting for constitutional reform, .."

Were you? Really! What a shame!

Simba SC's constitution is not what is being referred here, Mr. Marana!
 
Gaidi wa kwanza nchi hii ni ccm na vibaraka wake wote! Sikujua kama huyu mama angefikia hapa, ngoja tukamfunze adabu kuanzia tarehe 25 mwezi huu yani jumapili, hawatalala!
 

Uwepo wa uhuru kamili wa mihimili yote mitatu kutatupa uhakika huo.



Kwa eatoto yatima:

"
.
Ametuondoka wakati tukimhitaji:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

Sasa Twende wapi tukapate ushauri:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

Kiza kinene kimetanda hatuna pa kukamata:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

.
"

Ndiyo maana madai ya katiba mpya hayazuiliki. Wao wayaite vyovyote wanavyotaka.
 
Harakati za katiba zimekuwapo kabla ya JK rasimu ya katiba ya Warioba ni mwendelezo wake.

Utopolo wako peleka buseresere. Yuko kwa amani katika mapumziko atakuelewa.
Mbowe na wenzake ni magaidi.
hatuko tayari kuwatetea watu amabao wanahatarisha usalama wa nchi yetu, kamwe hili haliwezi kuvumiliwa.
Mbowe na genge lake ni wahalifu kama wahalifu wengine. ila Mbowe alijificha kwenye uongozi wa chama na madai ya katiba mpya akijaribu kuwahadaa watanzani na dunia kumbe ni muhalifu wa vitendo vya kigaidi.
 
Gaidi wa kwanza nchi hii ni ccm na vibaraka wake wote! Sikujua kama huyu mama angefikia hapa, ngoja tukamfunze adabu kuanzia tarehe 25 mwezi huu yani jumapili, hawatalala!

Sikuwahi kudhani mwanamke anaweza kuwa na roho mbaya namna hii. Picha hii inamuelezea vyema:



Angalia hata macho.

Looh!
 
Free Freeman,free CDM Members & others unconditionally!
 
An idiot on the move
 
Uzuri wake kalianzisha mapema mno before it's 2025.Amechemka na kudemka mapema mno/stepped on wrong foot.
 
Fortunate enough those statements doesn't justifies what she's doing.
She already messed up!
 
Huyo mama kwanin anapenda kuvaa kitambaa chekundu?
 

That,

'Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.'

Go tell that to the birds!

Hiiiiii bagosha
 
He is as ignorant as we are.Only that is what he was told.
 
Kwani si tulikubaliana kumnyoa kama tulivyo mnyoa mwenda zake? Sasa hizo nyembe tumeziweka wapi?

Kwani umeona tunalalamika kukosa nyembe?


Au wapi kunako kufanya wewe hata kudhania hivyo?
 
Huyo mama kwanin anapenda kuvaa kitambaa chekundu?

Watu wana imani zao. JPM - ushirikina, nyungu, mikaratusi, michai chai, na matango pori kibao. Utawajulia wapi hawa watu?
 

Hatimaye umekuwa polisi, mshitaki na hakimu pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…