Mdahalo Kudai Katiba Mpya unapogeuzwa Ugaidi

hapana ila kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi wa kupanga mipango ya kuuwa watu mbalimbali, yaani anaongoza GEGE LA KIGAIDI

Kwamba? GEGE LA KIGAIDI? Na wewe umo humo kwenye hilo GEGE kama unavyoliita?

Usikonde mkuu nime copy na Ku paste kama uliyoandika mwenyewe.

Haki haijapata kushindwa. Hata hili tutashinda. Haijali kwa gharama gani.
 
hapana ila kwa sasa anatuhumiwa kwa Ugaidi wa kupanga mipango ya kuuwa watu mbalimbali, yaani anaongoza GEGE LA KIGAIDI
Uandishi wako unaonesha kabisa una andika kwa MIHEMKO....BILA KUTUMIA AKILI ILIYOTULIA YA KUCHANGANUA MAMBO..ILA NIKUFAHAMISHE KITU KIMOJA,

UOVU HAUJAWAHI USHINDA WEMA TOKA DUNIA IUMBWE*
 
Sabaya wa kesi ya wizi wa simu au Sabaya mwingine
 
Uandishi wako unaonesha kabisa una andika kwa MIHEMKO....BILA KUTUMIA AKILI ILIYOTULIA YA KUCHANGANUA MAMBO..ILA NIKUFAHAMISHE KITU KIMOJA,

UOVU HAUJAWAHI USHINDA WEMA TOKA DUNIA IUMBWE*

Kusikia kwao bora ya kenge.
 
Mkuu, baadhi ya hayo unayoweza kumsifia nayo Magufuli, tunaweza kukubaliana bila shida kabisa.

Ubaya wa kiongozi yeyote ni pale anapojihisi yeye ndiye kila kitu na kuachana na taratibu zilizopo na kujifanyia aonavyo yeye inafaa. Hata awe mzuri kiasi gani, kiongozi wa namna hiyo hafai.

Magufuli alikiuka bila aibu kabisa matakwa ya katiba na sheria. Yeye ndiye akawa Bunge na Mahakama na chama chake kikawa kama mali yake. Uongozi wa aina hiyo hapana.

Ukatili. Kweli una mashaka yoyote na ukatili aliokuwa nao Magufuli, kiasi cha kwamba uanze kujiuliza juu ya hilo?
 
You clearly don't have the handle with the language.

You better spend more time learning its proper use.
 
You don’t seem to understand or support what opposition leaders stand for. We support the whole move aiming at new constitution and not correctness of a few phrases given by our leaders.
You go into JF for recreational purposes and don't gain a thing from it, it seems.
If you did, you would not have put that label on me on the basis of what is written in the statement you quoted.

Tundu Lissu, obviously didn't choose his words properly/carefully in that statement attributed to him.

Go and tell him that.
 
Watakaa kimya....

Nchi za MAGHARIBI watakaa kimyaaa.....

Serikali ya Tanzania inaendelea kusonga mbele....

TUHUMA ZA UGAIDI NI NZITO....

Ukitaja tu UGAIDI basi ujue wamagharibi hawatotaka kujihusisha na GAIDI NA MAGAIDI....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Polisi wameshatolea maelezo, katumia mwanya huu akijua anaenda shikiliwa.

kama mmeamua kupanua goli kivyenu ila polisi ndio wameshasema.
Hivi wale Mashehe wa Kiislam wa Uhamsho bado wapo jera?
Hivi hao Mashemhe wa uhamsho walikua na tuhuma za ugaidi?
Kama wapo huru ..safi sana hao ni maswaiba wenzetu
 
Mipango ya Mwendawazimu hii kabla ya kifo kumfyeka. Ilikua lazima Mbowe aangamizwe na CHADEMA ifutwe.
Samia anatekeleza kwa kua anaona kabisa hawezi kushinda uchaguzi 2025.
CCM hali mbaya sana. Wanaponzwa na ULAFI na UFISADI wa madaraka.
 

Katika maelezo yote hayo, comment ya Tundu Lissu kumhusu Magufuli haiko sawa kabisa na imekaa kijazba zaidi. Imepinda vibaya sana.

Haiyumkiniki kwa Tundu Lissu kufanya ulinganisho kati ya Mh SSH na Magufuli na kudai β€œhata” Magufuli asingeweza kufanya alivyofanya SSH! Seriously? Baada ya yote yaliyotokea 2015-2020, Lissu anatoa ushuhuda wa aina hiyo?
 

Sasa kampeni ni kuonyesha kuwa Magufuli alikuwa much better kuliko Samia? [emoji848][emoji15]
 
He ran away to Mwanza to deceive the public into believing that he was arrested because of the symposium they were preparing to hold to discuss constitutional review issues
 
You clearly don't have the handle with the language.

You better spend more time learning its proper use. Egocentricity? You are envious of Tundu Lissu?

We have important issues to tend.

To us, english is a mere language. It's use value simply ends like that spoken by the Maasai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Enviousness or egocentricity over Tundu Lissu? That is more of your problem than to us. Whatever that you are after, keep it. It is not interesting to us.

By this, please be informed, you are a already a distinguished member in my ignore listπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Bye bye amigo, don't even mind to write back.
 

Nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…