Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:
a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk
Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?
Hivi mantiki ya swali hili ni nini?Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".
Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!
Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....
Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
Hivi mantiki ya swali hili ni nini?
Ikiwa wewe ushawapitia 20 na, unapomuuliza yeye unategemea jibu gani? Hao 20 na, wenzio waliopitia unadhani walitoka mbinguni?
Kwamke unataka nini? Na kwa kimada unataka nini
Hawajui hata wanachotaka.
Ukweli tunajua sana tunachotaka, tatizo ni kugundua kuwa kama tayari tumeshakipata!
Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:
a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk
Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?
hili nalo kumbe ni tatizo mkuu........... kivipi hapo? au ndiyo maana wanaishia kutudanganya hata km anajaza bus.......Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".
Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!
Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....
Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".
Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!
Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....
Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
ndege wanaofanana huruka pamoja.kama mwanaume anategemeakatembea na wanawake 20 aje apate bikra asahau ratio haiwezi kuwa 20/0 hapo labda ni 20/19hivi mantiki ya swali hili ni nini?
Ikiwa wewe ushawapitia 20 na, unapomuuliza yeye unategemea jibu gani? Hao 20 na, wenzio waliopitia unadhani walitoka mbinguni?
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:
a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk
Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?
Kujua nini mkuu mbona watuacha hewani? Funguka tukuelewe
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!