Mdahalo: Mwanamke "kujua sana" ni "negative" kwake?

Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:

a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk

Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?

c na d sio ishu. Ishu ni a na b
 
Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".

Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!

Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....

Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
Hivi mantiki ya swali hili ni nini?
Ikiwa wewe ushawapitia 20 na, unapomuuliza yeye unategemea jibu gani? Hao 20 na, wenzio waliopitia unadhani walitoka mbinguni?
 
koh koh koh... so unasema mtu anaweza kuklutana na binti naye kafika 20? OMG!! Katika mazingira hayo mwanamme mbona hana chance ya kufurukuta inabidi akubali tu gari liende!!
 
Mtu unataka pilau,lakini hutaki mpishi?
Lakini unataka pilau
Loh
Wanaume bwana? Ndo maana huwa tunaishia kuwaambia ujue diawewe ni mwanaume wangu wa pili tu, kumbe chain inaanzia dar-mwanza
uzuri haina meter useme itasoma unit

Ha ha ha punguza sipidi ya hayo maneno mi mbavu zinauma
 
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:

a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk

Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?

"Sisi wanaume wengi" ni wewe na nani?

Sie wengine tunataka wanawake tunaoweza kuzungumza nao mambo tofauti, kuanzia Renaissance France philosophers, haiku stanzas mpaka aina za maua ya South America zinazoweza kufanyiwa ikebana Copa Cabana, na jinsi gani law of conservation of energy inaweza kuvunjika bila singularity.

Sio unachukua mamaa halafu inakuwa kama ule wimbo wa Ngwear bongoflava, mmoja anaongea lugha tofauti na mwingine mnakuwa hamuelewani kabisaaaa.

Mie kuna mmoja anamalizia PhD namfuatilia nimuweke ndani, maana unakuwa na daktari wako mwenyewe, nini night nurse. Tena daktari ana "Player Hater Disease" kwa hiyo na wewe unamtibu kwa dozi za kimtaamtaa. Halafu kasha defy stereotypes kibao sijui wanawake wasomi wana matata, sijui hivi nacheeka.
 
As u said; it is a macho thing kwa mwanaume kuwa mjuaji! Na men r like children ukimfanya ajione anajua (kwa kujifanya wewe hujui) unamuongezea confidence!

Pia wadada wanaona kutokujua sana ndio sifa na kujua sana kunaleta picha negative; so sometimes hujifanya si tu hawajui lkn pia hawapendi/husudu ili wasiwebtermed as wazoefu ambayo kwa mwanamke haina tofauti sana na 'malaya'!
 
Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".

Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!

Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....

Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....
hili nalo kumbe ni tatizo mkuu........... kivipi hapo? au ndiyo maana wanaishia kutudanganya hata km anajaza bus.......
 
Ngoja ninogeshe kidogo; binti kaanza "kujua" akiwa na miaka 13 (darasa la sita shule ya msingi), akaenda sekondari "akajua zaidi" na alipoenda A level "akajua tena na tena". Akapata nafasi ya kwenda chuo akagraduate siyo digrii tu bali na "kujua zaidi". Huko kote akakutana na "vichaa wenzake" wakampa elimu ya nadharia na kumchochea kujaribu kwa vitendo; binti akajua na zaidi ya kujua lakini ukimuona ni mkimya, mtaratibu, mcheshi na hana mwelekeo "wa mjuaji".

Sasa wewe jibaba unakutana na binti anamiaka 26 au 27 anakuonea aibu hadi unasikizia kiu! Anakuzungusha kwa kukutamanisha na mwisho wa siku anaamua "kukugea". Hakupi vyote though ana kuacha uhangaike na gari kuliwasha.... kumbe hujui mwenzio anakulia timing!!

Ngoja aje akufyatukie siku hiyo....

Mwisho unaanza "hivi umekuwa na wangapi?".....

Hey Mzee!! What do you have in mind? Haaahaaa! Siku hizi kuna mambo huwa hatujisifii barabarani maana unaweza kujiumbua
 
hivi mantiki ya swali hili ni nini?
Ikiwa wewe ushawapitia 20 na, unapomuuliza yeye unategemea jibu gani? Hao 20 na, wenzio waliopitia unadhani walitoka mbinguni?
ndege wanaofanana huruka pamoja.kama mwanaume anategemeakatembea na wanawake 20 aje apate bikra asahau ratio haiwezi kuwa 20/0 hapo labda ni 20/19
 
MM umeleta kitu cha kweli kabisa, sijisifii, ila nimegeuzwa threat badala ya msaada mara nyingi sana, sijui tuende wapi na sehemu nyingi nyeti ndio mmejaa nyie wanaume....
 
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:

a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk

Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?

Hawa(Eve) ''alijua sana'' kuliko Adam......how about that?
 
Kujua nini mkuu mbona watuacha hewani? Funguka tukuelewe

Kujua mambo mzeya!!!!!!!!!!!!!!!!! Mambo yetu yaleeeeeeeeee ya mchezo wa baba na mama. Niludi kwenye mada, ni bora tu mtu awe na kere kere luv kuanzia mwanzo, maana ukiwa mlokole mwanzoni halafu baadaye ndo uanzishe maujanja mi naona hii ndo huwa inakuwa mbaya zaidi, maana jamaa anaweza sema huyu mwanamke vipi? Mbona tulianza kiupole upole, na sasa ananikimbiza kwa hiyo hii itamfanya jamaa akose ujasiri na sindano ya nyama italala kwa kufikiria hicho 2, wakati kama kuanzia mwanzo ulikuwa na mautundu yako jamaa ataenda akiyafikiria na kuya-miss kwa hiyo akija inabidi ujitahidi ufanye mautundu zaidi, wakati kama ulifanya kilokole na wewe ni mtundu sasa inabidi uwende kilokole, lokole, unatakiwa mtu huwe wewe ulivyo, kama mlokole, mlokole kama una makeke unyoshe makeke yako kuanzia siku ya kwanza.
 
Sifa kuu ya mwanamke ni utulivu!
Kama anaongea sana tegemea kukutana na multiplication zaidi ya matatizo, ya ndani ya relationship, na nje kwa marafiki na majirani!

Mmhhh!!!!!!!!! ina maana hata huelewi nini MMJ anamaanisha? bado mtoto ..ama..?????
 
Wanawake wa aina hiyo mara nyingi washamaliza viwanja vyote kuanzia Local, National ,International hao ndio wale unaosikia wanamkamuwa mtu mafuwa kwa mdomo.
 
Raha yake ni bendera chuma mlingoti chuma..............
Hii inasaidia hata kuwa muaminifu kwa ndoa yako as kama waubani ni mjuzi then hapo mpaka utoke nje ni kazi maana hujui ukitoka chocho home utapewa mputamputa upi......so unakuwa tayari kwa vita ya home anytime na ndo kudumu kwenyewe kwa ndoa tena
 
Back
Top Bottom