Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu tunajiuliza maswali mengi:
a. Amejifunza wapi?
b. Amejifunza kwa wangapi?
c. Itakuwaje kama sifikii kiwango chake?
d. Itakuwaje kama ataniona mshamba?
n.k nk
Matokeo yake ni kuwa mwanamke inabidi ajifanye hajui! Sasa hilo nalo ni zuri kwenye mahusiano?
c na d sio ishu. Ishu ni a na b