Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

time for change has come and is now. The real doctor of philosophy of
philosophy will be sworn in early next month as our translation leader and the
5th president.



 
Hilo swali la mgombea mwenza kalijibu vizuri sana.. Aisee Dr Slaa ni kiboko! CCM Kwisha kazi....
 
Kikwete kufanya mdahalo baada ya uchaguzi? Kushawishi TSIS wachakachue kura? Nipe muda tafadhali.
Wawa kusanye wote 3 wajibu maswali Ijumaa hii na sio Jumamosi
 
Anaongelea nyumba za Tembe na Majani, mtu ananyumba imekaribia kuanguka lakini ameweka picha ya chagua kikwete, anashangaa sana.
Dr. ana data ya pesa ambazo CCm wamelipia mabango na hayajalipiwa ushuru, anasema kama haya yanawezekana kutapanya mabango nchi nzima, je elimu ya mtoto wako haiwezekani,

Kama unaweza kwenda kunywa chain a obama, kwa nini useme elimu bure haiwezekani?
Dr. anasema yuko tayari kula mihogo ikulu ila elimu iwe bure.
Anasema pesa ziko zimesambaa kote kwenye idara za serikali, kinachotakiwa ni uwajibikaji. Anasema kila mahali kuna uchafu, miezi ya kwanza ni kurekebisha na kurejesha uwajibikaji. Kwenye swala hili ametoa mifano kibao alipokuwa somewhere mawilayani.

Anataarifiwa kuwa zimebaki dakika saba, anatoa points za mwisho mwisho

Anawashukuru sana watanzania
Anawaomba radhi majimbo ambayo ameshindwa kufika leo kwa sababu ya wimbi zito
Anasema katika siku 71 ni vigumu kufika majimbo yote hata kwa kutumia helikopta, ila anawaomba wote kura zao.
Anasema yeye hataki kuona damu ya mtanazania inamwagika
Anasema Tanzania itakuwepo hata baada ya uchaguzi
Anasema kwa siku nane zilizobaki, ukipigwa kofi basi geuza la pili maana hautakufa
Anasema, ukitaka kumuumiza aliyekupiga, wewe mpuuze, inauma zidi ya kulipiza kisasi
Anamwomba kikwete awe makini, anasema vurugu zitaletwa na serikali, na polisi na watendaji wengine, ametoa mifano ya mwanza, ambapo hakulindwa na polisi, vijana wakajitokeza kumlinda.
Mwisho, anawaomba watanzania wote wampatie kura, Chadema ni Tumaini jipya, makofi kibaoooo, anasema tuanze mabadiliko pamoja

Anasema hataki kuona watu wanalala kwenye nyasi, na tembe; kwa kuondoa kodi katika vifaa vya ujenzi.
Anasema Elimu ya bure inawezekana, atalisimamia swala hilo ili vijana wetu wapate matumaini mapya,

La mwisho kabisa, kuna maswala yanamgusa mtanzania wa kawaida ambayo hawajayazungumzia kwa kuwa hawajafanya utafiti, ila watashughulikia ili watanzania wawe na maisha bora ya kweli.

Kwamba, maendeleo yaitakiwi yawe ya vitu bali ya watu.

Mwisho, Asanteni sana na poleni kwa Spell error, ni kwa sababu speed ya kuongea na kuandika ni tofauti.

Tuko pamoja,

MC

asante mkuu good work
 
kuendelea kukaaa na cccm ni maafa mmmmmmmh hii nimeikubali


Hiyo Kauli Imeufanya Mtaa Mzima ninao ishi kulipuka kwa Shangwe ndipo nikagundua kwamba mamilioni ya Watanzania walikuwa wanashuhudi mdahalo huu
 
tunamshukuru sana Dr Slaa ameweza kuchakachua vyema msimamo wa chadema kabla na baada ya uchaguzi
 
ssa jamani TUKAPIGE KURA HIYO TAREHE 31 OCT, ILI KUHITIMISHA UTAWALA DHALIMU WA CCM. MMESIKIA MABANGO NA PICHA ZA KIKWETE ZILIVYOLIPIWA PESA NYINGI NAMNA ILE, WAKATI SISI TUNATAABIKA, MISHAHARA YETU INAKATWA KODI KUBWA KUBWA TUU ILI KUNEEMESHA CCM
 
Nami nimemsikia. Kwa maneno mengine anamaanisha kwamba yeye wasimjumuishe kwenye share za mafisadi (sisi m).
 
MKuu umsahau hii niyingine.. ...kamta ja with confidence and conviction kuwa ni FISADI namba kumi na moja ...
 
Technically amejibu maswali vizuri sana... ila kuna-spin nyingi kwenye maswali ambayo yalikuwa technical... especially swali la East Africa, Swali ya Elimu kwenye perspective tofauti. Issue ya Tanzania kuwa ya 2 kutoka chini kiuchumi bila facts etc! Mbayuwayu... wanaelewa vizuri lipi ni lipi other ... if it was debate Dr. Slaa oyeee.....
 
Back
Top Bottom