kwa maana hiyo mbowe asahau uwaziri mkuu maana yeye labda atakuwa mbunge wa hai au sio aidha zito asahau uwaziri wa madini!!!!!!
kwa maana hiyo mbowe asahau uwaziri mkuu maana yeye labda atakuwa mbunge wa hai au sio aidha zito asahau uwaziri wa madini!!!!!!
Jamani vijiji vya sasa bongo si kama vile vya 2005. Watu wanauelewa mkubwa sana na wana TV kwa wingi baada ya madish kupungua bei.mmh.....kikwete anakazi ya ziada.Kwahii ya leo imemmaliza,natamani tungekuwa na uwezo wa kuisambaza copy ya debate hii kila mahali hasa vijijini waisikilize na watambue umakini wa chadema.........
CHADEMA OOOOYEEEE!
hana mpya huyu labda tusubiri atazusha uzushi gani saa hii maana jamaaa kwa kuropokwa huyu
kwa maana hiyo mbowe asahau uwaziri mkuu maana yeye labda atakuwa mbunge wa hai au sio aidha zito asahau uwaziri wa madini!!!!!!
kwa maana hiyo mbowe asahau uwaziri mkuu maana yeye labda atakuwa mbunge wa hai au sio aidha zito asahau uwaziri wa madini!!!!!!
hivi kule kwa blog ya michuzi unaweza kuta mambo bomba kama haya yanawekwa wazi hivi? Hasa mdahalo huu uliokuwa ukiendelea? Ebu wapenzi wa michuzi naomba maoni yenu!
Malaria Suguuuuuuuuu uko wapi jamani hahahahahahahhhaaaa aibuuuuuuuu
ukiona jf wamewacha kupost kupitia you tube huu mdahalo wa slaa ujue slaa ameboronga sana!!!
ukiona jf wamewacha kupost kupitia you tube huu mdahalo wa slaa ujue slaa ameboronga sana!!!
Kweli mkuu ni haki yake bila ubishi matumaini ya kuzaliwa taifa jipya yananukia.Udokta wa Heshima Mkuu
Dr Slaa amezungumza vizuri sana. Kwa yeyote yule mwenye mapenzi ya kweli na Tanzania na alibahatika kuangalia kipindi kile ni lazima ampe kura Dr Slaa, vinginevyo mtu huyo haitakii mema nchi yetu. Nilikuwa nimekaa na wadada wawili ambao wote kabla ya mdahalo kuanza walisema kura zao watampa Kikwete na wabunge wa CCM hata kabla ya kipindi kuisha walikuwa wamebadili mawazo na kusema kwamba kura zao watampa Dr Slaa na wagombea ubunge wa chadema. Hongera sana Rais Mtarajiwa Dr Slaa, hongera sana chadema kwa kuwa makini sana katika kampeni zenu zilizowawezesha kuzikonga nyoyo nyingi za Watanzania.