Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Mdahalo ulikuwa mzuri sana na Mtangazaji kafanya kazi nzuri, ila haikuwa sahihi kwa Mtangazaji kumkatisha yule aliyetaka kujua msimamo wa dokta kuhusu mgombea binafsi. ishu ya mgombea binafsi ni nyeti na muhimu sana na ilihitajiwa itolewe comment na dokta. haikufaa mtangazaji kuikatisha eti kwa sababu haipo katika ilani ya Chadema, hata kama haipo si ingekuwa vyema kuona namna gani slaa atadeal na hii ishu ukizingatia inagusa moja kwa moja haki za msingi za raia?