Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Mdahalo ulikuwa mzuri sana na Mtangazaji kafanya kazi nzuri, ila haikuwa sahihi kwa Mtangazaji kumkatisha yule aliyetaka kujua msimamo wa dokta kuhusu mgombea binafsi. ishu ya mgombea binafsi ni nyeti na muhimu sana na ilihitajiwa itolewe comment na dokta. haikufaa mtangazaji kuikatisha eti kwa sababu haipo katika ilani ya Chadema, hata kama haipo si ingekuwa vyema kuona namna gani slaa atadeal na hii ishu ukizingatia inagusa moja kwa moja haki za msingi za raia?
Na huenda kakimbizwa ICU!
Dada yangu hebu rejea tena ulichoandika. Una uhakika na unachoongea??
duuuh kumbe FOundation for civil society ndo wamefanya mamabo hayaaaaa.teeeeeh...hawa si wanafadhiliwa na EU
Hapana, CSF wao ni wafadhili lakini waandaaji wa mjadala huu na sio mdahalo kama wanavyotaka kuspin ni VOIX Media ambayo ni kampuni ya Ansbert Ngurumo na ufadhili wa kina Freeman. Ansbert ndio Media Advisor wa Dr Slaa. Na hata ule mjadala wa urais Zanzibar waandaaji ni foundation ambayo ilianzishwa na inaongozwa na viongozi wakuu wawili wa CHADEMA kule Zanzibar. Na hii ndio moja ya sababu ya CCM kuwakatalia ule mdahalo waliomba kuandaa hapo kabla kwani it is obvious the platform in neither friendly nor neutral.
Hivyo tunapowakosoa CCM katika uamuzi wao wa kukataa "midahalo" hiyo ni muhimu kutambua rationality yao pia....
Katika maswali yote nilihisi lile la mgombea mwenza lingemtia kigugumizi, ila nilishangaa kwa namna Dr. alivyolijibu kwa ustadi mkubwa. It was hot for real, natamani this time ndio mdahalo ungekua unaanza. For real he deserve to be the 5th president of URT. Nina mdogo wangu kajiandikisha kupiga kura mbeya, I had no plan for him na kila siku alikua analalamika kwamba yeye peke yake hatakua sehemu ya mabadiliko kwa kutopiga kura! Leo after Dr's debate kanijia juu anataka nauli aende tena anataka akaconvice na wenzie wa kule wampigie Dr. For sure sina hiana, ijumaa anaenda Mbeya for that, What's 60,000/= for an issue tounching a number of people's lives. Go Dr. Slaa gooo
Mzee Omarilyas, this doesn't the ring bell!! Kitu kikubwa kinachowakimbiza sisiem kwenye midahalo ni hoja zinazohusiana na ufisaji na wanajua popote watakapokuwa kwenye midahalo masuala ya ufisadi yatajitokeza. Hawana majibu ya rushwa, nafsi zao zinawasuta sana na hata zile cases chache ambazo wangeweza kutumia kuonyesha jitihada zao za ku-fight ufisadi zimevurugwa na mkuu kwa kuwasupport watuhumiwa wazi wazi.
Kama issue ni platform ya waandaaji mbona basi midahalo ya tbc nayo pia wameikwepa, is tbc neither friendly nor neutral?? Sorry you missed it.
Kama issue ni platform ya waandaaji mbona basi midahalo ya tbc nayo pia wameikwepa, is tbc neither friendly nor neutral?? Sorry you missed it.
Siyo kubadilisha tu hapa arusha kuna sehemu majina ya watu kibao hayapo...mfano kaloleni majina ya jamaa zangu watatu hayoWatu wote sasa waka hakiki majina yao kwenye vituo vyao vya kupigia kura ili kujua kuwa utapigia chumba gani, kumekuwa na tabia ya kuhamisha majina na kusababisha mkanganyiko siku hiyo. Kwa hiyo ukijua ni chumba kipi utapigia kura inasaidia sana kuhakikisha unakamilisha jukumu hilo muhimu.
Jana Dk Batilda Burian mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini alihudhulia mdahalo uliofanywa na madhehebu nasikia alifunikwa mbaya kabisa na Lema wa chadema, Lema alipoanza kuonngelea ufisadi mgombea huyu wa CCM aliwaomba maaskofu wamzuie Lema asizungumzie ufisadi hasa kwa kumtaja Lowasa...Lema alihamia kwa mramba akihoji uhalali wa kupigiwa debe na Mgobea urais kupitia CCM huku akijua fika serikali ya CCM ilimpeleka Mramba mahakamani na bado anakesisio TBC tu, hata huko mikoani kuna midahalo mingi ambayo inaendeshwa na NGO mbalimbali , lakini wanakimbia pia
TBC I believe walikataa kutokana na kutoshirikishwa kupanga rules za midahalo ikiwemo ile ya aina ya ushiriki, idadi, usalama, lakini zaidi mfumo wa maswali. Ni wazi kuwa kwa mtindo wa watu kuuliza swali kwa mgombea fulani na sio maswali ya pamoja, lingewaumiza sana CCM kwani ndio pekee wenye records zinazojulikana na wananchi Vs wenzao ambao mapungufu yao mengi hayapo katika public.
Lakini pia mfumo wa ushabiki na ushangiliaji kama tunaouona na wakati CCM wanajua ni jinsi gani this Anti establishment syndrome ilivyokubuhu miongoni mwa jamii, hata wewe kama ungekuwa mshauri wao there is no way ukawaingiza mkenge.
Lakini suala la mjadala wa urais nilitaka kuweka hayo mambo wazi maana wengi wanajudge kishabiki zaidi kuliko ukweli wa mambo ambao ama hawaujui ama hawataki kuutambua....

Basi kama wanaona midahalo mingine yote inayoandaliwa na wengine ina dalili za upendeleo na lack of security kwa mgombea wao, then wao (kama ccm et al)waandae mdahalo for the sake of Tanzanians, mdahalo ambao wao wataona una sifa zote za kuwepo mgombea wao na wengine pia...Utaona jinsi ambavyo wagombea wa vyama pinzani watakavyouchangamkia!Hapana, CSF wao ni wafadhili lakini waandaaji wa mjadala huu na sio mdahalo kama wanavyotaka kuspin ni VOIX Media ambayo ni kampuni ya Ansbert Ngurumo na ufadhili wa kina Freeman. Ansbert ndio Media Advisor wa Dr Slaa. Na hata ule mjadala wa urais Zanzibar waandaaji ni foundation ambayo ilianzishwa na inaongozwa na viongozi wakuu wawili wa CHADEMA kule Zanzibar. Na hii ndio moja ya sababu ya CCM kuwakatalia ule mdahalo waliomba kuandaa hapo kabla kwani it is obvious the platform in neither friendly nor neutral.
Hivyo tunapowakosoa CCM katika uamuzi wao wa kukataa "midahalo" hiyo ni muhimu kutambua rationality yao pia....