Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Luushu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
816
Reaction score
477
Mdahalo karibu utaanza nitakuwa nawa update kwa walio mbali na tv au wasio na ving'amuzi au dish
 
Tupieni updates humu wakuu mnaoangalia, wengine tupo mbali na tv
 
nipo mbele ya Tv this time,startimes ndiyo inanikera kama nini!!
 
mawaziri wote wameingia pori,chezea TL wewe!
 
chikawe aliomba mdahalo uhairishwe tarehe 20.ili kupisha mechi ya simba na yanga na leo yupo nje ya nchi na jukumu la kumwakilisha akapewa naibu wake Mh Kairuki ambaye naye ametoa udhuru.
ccm na midahalo ni haramu kabisa!
 
Acha kabisa wanaogopa kuumbuka mbele ya camera kwa sababu wanajua madudu ya hoja zao na wapi watabanwa.watakimbia sana na bado.
 
mawaziri wote wameingia pori,chezea TL wewe!

Hili tulilijua tangu cku tulipotangaziwa habari ya huu Mjadala,7bu zicngekosa kwa OFISI ya KATIBA na SHERIA kuja LIVE kutetea UONGO ni NGUMU sana!
 
Mdahalo wa Rasimu ya Katiba ipi? Ya CHADEMA iliyochakachuliwa au hi ya taifa iliyowqpeleka Ikulu kunywa juice?
 
Hili tulilijua tangu cku tulipotangaziwa habari ya huu Mjadala,7bu zicngekosa kwa OFISI ya KATIBA na SHERIA kuja LIVE kutetea UONGO ni NGUMU sana!
Huo mjadala umeandaliwa na nani?
 
Tuliambia Angella Kairuki angekuwepo but surprisingly enough haonekani wala hatuma representative. Hatutapata views toka upande wa serikali!
 
Mimi ningeshangaa kama mawaziri wangeshiriki make sioni umhimu wa huo mdahalo make rasimu ipo tayari na tume inafanyia kazi kwa kuchambua maoni sasa hawa wanafanya madahalo halafu maoni yao wayapeleke kwa nani kazi zingine za kijungunjiko kweli.
 
Kukacha midahalo walianza tangu Tido
akiwa Tbc hadi leo
 
MDAHALO WA RASIMU YA KATIBA,,namkubali sana Tundu Lissu,, hoja zake ziko wazi sana na usipozielewa basi tena, mjadala zaidi naoutajikita zaidi katika muundo wa serikali.
 
Back
Top Bottom