Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Wadau mdahalo wa katiba mpya unaendelea sasa hivi na uko live itv na radio one
 
hivi nani huwa ana zuia wana ccm kushiriki midahalo?

Kairuki angeishangaza dunia kushiriki huu mdahalo.
 
Hata hivyo wazungumzaji wanazungumza lugha ngumu sana, bado watu wa kawaida hawataelewa vyema, ndivyo nionavyo!
 
Lisu asema watanzania wengi hawajui ukweli kuhusu muungano
 
Mwaka 1963 muungano wa serekali tatu ndio ulio mng'oa Jumbe madarakani
 
Tundu lissu anatoa historia fupi ya mahitaji ya serikali tatu, anafanya hvyo ili kutoa shaka kuwa tume ya warioba haijachukua maoni ya wapinzani kuhusu serikali tatu, bali ni issue ya muda mrefu sana, 1965
 
Wagonjwa wa mirembe wengi wao wanatibiwa ugonjwa wa kichaa
 
Dr kigwangalla ana wagonjwa wake ambao anawatibu ugonjwa wa kuchanganyikiwa
 
Dr alien anazungumza kuhusu serikali tatu, yeye anasema kuwa muungano umekumbatiwa na ccm, ila siku ccm waking'oka ndio mwisho wa muungano
 
Dr alien, anasema muungano ni janja ya kupora mamlaka ya znz!
 
Dr alien, anasema yeye anaona km muungano unafanya znz km vile haiwezi kujitawala hvyo ni km inasaidiwa hv!
 
Mjadala unaendelea . . . . . . . .sasa ni maswali toka kwa wasikilizaji waliopo ukumbini
 
Aley Nassor asema mfumo wa serekali mbili si suluhisho la muungano ila serekali tatu yaweza kuwa suluhisho
 
Kuna jamaa anauliza km je serikali tatu ndio suluhisho?(anaonekana ni msikilizaji mzuri wa hotuba za mwalimu)
 
Jamaa anaona kuwa hakuna kokote duniani penye serikali tatu(swali limeenda kwa lissu)
 
Hadi sasa wauliza maswali wanaonekana hawapo detailed kabisaaaa. . . . . . .ila ndio watz wetu!
 
Back
Top Bottom