Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Jamaa kauliza! Rasimu hii ni ya wananchi sasa kwann wanasiasa wanadharau maoni ya wananchi?
 
Majibu yanatolewa na wazungumzaji wakuu, Dr alien anajibu uwepo wa serikali tatu km suluhisho la matatizo. . . . . . . .endelea kufuatilia!
 
Mmhhh naona km Dr alien ni chenga kiaina. . . . . . . .naona anashindwa kuwa simple and precise ktk kujibu maswali!
 
Jamaa wa cbe chuo anauliza swali tena, unajua wauliza maswali hawakuwa vizuri. . . . . Lisu anajibu kuhusu serikali 3 km suluhisho ama lah!
 
Lisu anasema ni vizuri sana kuota lakn ni dhambi sana kuendelea kuota hata km ni unreliastic
 
Lisu anasema mwalimu alikuwa anaota kuwa na serikali moja, na alijitahd kupigania hili katika uhai wake wote
 
Nasikitika sana magamba yanakimbia midahalo, hivi ni kwa nn?
 
Lisu anasema mwl alitaka kumeza znz ili serikali moja itokee, hata hvyo alishindwa
 
Lisu yupo vizuri sana upstairs. . . . .huyu ni hazina ya taifa kwa kweli!
 
Muda haumtoshi lissu hata kidogo. . . . . .hata hvyo mwenyekiti wa mjadala nae anaongoza mjadala kwa kutoa elimu, anachukua muda sana bila sababu!
 
Lisu anasema kuhusu serikali moja Mwalimu alishindwa kishujaa (a heroic failure)
 
Lisu yupo vizuri sana upstairs. . . . .huyu ni hazina ya taifa kwa kweli!

hakuna kit..lissu analaumu tu badala ya kusema nini kiwekwe ndani ya katiba..ni..ubishi tu sidhani kama tutapata katiba nzuri kama watu wenyewe hawajui wanataka nini na wanabaki kulaumu tu wakati nafasi tunayo tumepewa ya kutafuta katiba mpya
usimsifu hajasema lolote
bora yule mzanzibari anasema mambo ya msingi ya kufanya na sio kulaumu
 
Mdahalo umepoa, sio km nilivyotegemea. . . . .hii ni kwa sababu Dr alien kimsingi wanakubaliana na Tundu na ni mbaya sana ktk mdahalo maana mdahalo unakuwa km mnapiga story tu za kwenye vijiwe vya kahawa!
 
Back
Top Bottom