Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Njelu Kasaka ataka serekali 1 ama 3 na sio 2 kisha ndio tuingie kwenye mchakato wa katiba
 
Kazi ipo hatuzungumzi katiba tuitakayo badala yake tunajadili namna ya kuipata hio katiba..
jamani mjadala mada ni katiba tuitakao...mbona kazi ipo.....mwisho tutapata katiba bomu....hawa wasomi hawajui wanacho kifanya wao ni wasomi au jembe kama wanavompenda lakini hakuna maoni anayosema...

Wewe ndo tukushangae zaidi......hapa tulipo fikia hata km unamawazo mazuri namna gani km hayapo kwenye ile rasimu hayawezi kuchukuliwa tena. Muda wa kukusanya maoni ulisha pita. Ss tuko kwenye mchakato wa kuunda baraza la katiba litakalo jadili yale yaliyomo kwenye rasimu....upo?
 
thank you UNDENIABLE.it is undeniable fact that Tanzania needs lissu the most.
 
huyu jamaa anayeishi New York ni mburura kweli badala ya kujadili hoja yeye anamjadili Lissu
 
Mdahalo unaendelea na sasa Saidi Kubenea anaongea msimamo wake ni serekali tatu
 
huyu jamaa anayeishi New York ni mburura kweli badala ya kujadili hoja yeye anamjadili Lissu

jamaa huyo wa new york ni tractor...na sio jembe....lisu...
ameongea points kabisa i like that guy....amesema kweli wanasiasa watanzania ni wachanga hawajakomaa wanajadili kikwete na ccm wakati kinachotakiwa kujadiliwa ni katiba
 
Kwa sasa Aley Nassor kutoka Zanzibar nae akandamiza muungano wa serekali tatu bado anaendelea
 
Mwakilishi wa serekali Anjela Kairuki hajafika kwa sababu zisizo zuilika
 
dar mzanzibari hatari...kweli tupu na mawazo mazuri
 
jamaa huyo wa new york ni tractor...na sio jembe....lisu...
ameongea points kabisa i like that guy....amesema kweli wanasiasa watanzania ni wachanga hawajakomaa wanajadili kikwete na ccm wakati kinachotakiwa kujadiliwa ni katiba
Huwezi kuwa mpinzani bubu bila kumtaja mpinzani wako
 
Mdahalo umeisha vizuri jamaa kutoka marekani watu wamshambulia kwa maswali atoka ukumbini mapema
 
Kulikuwa na BW**E. 1 kajitambulisha km anaishi AMERICA kwa zama hz alidhani kusema anaishi huko aliona bonge la issue! Watu tulidhani atasema anaTAALUMA gani kumbe kuishi2 hata mBWA anaishi huko!! Hakuna cha maana alichosema! kaishia kutema maSHUDU kamanda TL alipocmama kampa 1tu! jamaa kakodoa mimacho km KENGE! CCM kutetewa na m2 km yule ndo kunapelekea watu makini kuendelea kuipuuza CCM hana HOJA anatema PUMBA 7BU! imesemwa CCM duh!
 
Back
Top Bottom